Tahadhari kwa waafrika na Afrika

Tahadhari kwa waafrika na Afrika

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,021
Reaction score
16,591
Tunapoendelea na shughuli zetu huku kwenye hizi nchi zetu tusisahau kumuomba Mungu atuepushe na ugonjwa wa hatari kabisa wa Corona maana ugonjwa sasa hauko China peke yake bali tayari ushasambaa Iran, India, South Korea, Japan na ndani ya siku si nyingi tayari utakuwa ushatua kwetu na jinsi tusivyo hata na uwezo wa kununua mask nawaambieni tutakufa kama kuku.
 
Back
Top Bottom