Tahadhari kwa madereva,hasa wa Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa madereva,hasa wa Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 26, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa usiku huu hali ya hewa ya dar ni mvua mvua,nawashauri muwe makini sana muwapo barabaran,kuna karaha ya foleni na pia ajali,nimetokea maeneo ya Ukonga kuja kinondon kuna folen ya kutisha,ila nimeshuhudia ajali nne usiku huu,moja imetokea nikiwa naiona kabisa,ajali ya kwanza imetokea Ukonga-posta,pick-up ya swiss-port na escudo,then ya pili ndo nimeiona ikitokea hapo vingunguti,imehusisha magari madogo matatu na bodaboda moja,sijui yule dada(abiria wa bodaboda) hali yake ikoje,ya 3 hapo TAZARA inahusisha daladala tupu na ya 4 nimeiona magomen mikumi lori la mchanga limeguduka na matair yapo juu,,,,,inawezekana mvua na folen zinachangia,,,muwe makini wadau
  Bajabiri
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  Wito kwa wananchi. Msipande bodaboda, ni kifo
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  bodaboda bhana,,,,,ah sema binadam watu wa kusahau
   
 4. m

  mhondo JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ngoja wenye bodaboda wakusikie, sijui utawaeleza nini?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  awaeleze kuwa bodaboda ni risk means of transportation
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Asante kwa tahadhari
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  okay mdau,karibu
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  naogopa bodaboda....

  Asante kwa taarifa...
   
 9. FOWAGE

  FOWAGE Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni aina gani ya pick ya swissport single cabin au double cabin
   
 10. d

  dalu Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vyema mkuu umetoa tahadahari.na mimi huku maeneo yakigamboni njia ya kwenda mji mwema kuna ajali imetokea maeneo ya magogo.imehusisha gari mbili ndogo.muhimu kuchukua tahadhari mvua na weekend vinachangia sana.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  double cabin mdau nyeupe,ilikua inaelekea barabara ya kwenda UKONGA TO GOMBS
   
Loading...