Kwa usiku huu hali ya hewa ya dar ni mvua mvua,nawashauri muwe makini sana muwapo barabaran,kuna karaha ya foleni na pia ajali,nimetokea maeneo ya Ukonga kuja kinondon kuna folen ya kutisha,ila nimeshuhudia ajali nne usiku huu,moja imetokea nikiwa naiona kabisa,ajali ya kwanza imetokea Ukonga-posta,pick-up ya swiss-port na escudo,then ya pili ndo nimeiona ikitokea hapo vingunguti,imehusisha magari madogo matatu na bodaboda moja,sijui yule dada(abiria wa bodaboda) hali yake ikoje,ya 3 hapo TAZARA inahusisha daladala tupu na ya 4 nimeiona magomen mikumi lori la mchanga limeguduka na matair yapo juu,,,,,inawezekana mvua na folen zinachangia,,,muwe makini wadau
Bajabiri
Bajabiri