Tahadhari kwa madalali

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Habari zenu wakuu!
Najikita moja kwa moja kutahadharisha madalali wote kuwa umetokea mtindo ukitangaza kitu kuuza au kukodisha ( especially Nyumba) mtu anakwambia nirushie Picha na umueleze IPO maeneo gani! Baada ya kuona Picha, anakwambia kasoro badaa ya wewe kuachana nae, anaifuatilia personal! Then unajikuta amechukua bila wewe kujua na kwa kifupi anakuwa amekuchenga ki aina! Hiyo muwe makini ktk hilo!
 
Siwapendi madalali mmepandisha gharama ya ardhi, nyumba, magari nk
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
kwani umelazimishwakununua???
Hakuna biasharaisiyokuwa na dalali hata ndoa ina dalali
Kazi ya dalali ni kuunganisha muuzaji na mnunuzi halafu yeye analipwa na wote kwa asilimia. Na sio kuifanya biashara ni yake na kupanga bei.
 
Habari zenu wakuu!
Najikita moja kwa moja kutahadharisha madalali wote kuwa umetokea mtindo ukitangaza kitu kuuza au kukodisha ( especially Nyumba) mtu anakwambia nirushie Picha na umueleze IPO maeneo gani! Baada ya kuona Picha, anakwambia kasoro badaa ya wewe kuachana nae, anaifuatilia personal! Then unajikuta amechukua bila wewe kujua na kwa kifupi anakuwa amekuchenga ki aina! Hiyo muwe makini ktk hilo!
Ni Dar tu ila huku Zanzibar ukifanya hivyo unapigwa jini tu.Kuna nyumba hazikaliki huku kwa watu kuwachenga madalali waliowapeleka.
Na kuna nyumba huku hazikaliki mpaka mtu anahama mwenyewe,dhulma mbaya
 
Hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom