Tahadhari kwa BAVICHA kuelekea tarehe 23/07/2016

Waache wanaenda kujisaidia eneo lenye mamba

11078832_684626078313957_720476349_n.jpg
 
Na ikumbukwe kuwa mkuu wa nchi na marais wastaafu watakuwepo pale, ulinzi wake utahusisha vyombo vya kiulinzi vya ngazi zote, na matumizi ya nguvu yatakuwa makubwa endapo dosari yoyote ya kiusalama itatokea.
Cha msingi ni kutokuwa na miguu myepesi kukimbilia huko, utapigwa, kuvunjwa viungo na kukamatwa bure, ni vyema ukatulia kwako au kufanya shughuli zako. Kumbukeni ccm ndio chama chenye dora kuwapinga kwa nguvu ni taswira ya kuipinga serikali.
 
Nasubiri kitakachotokea tarehe 23 pale shabiki wa Yanga anapoenda jukwaa la mashabiki wa simba
 
,kwani wanaenda kweli au story za bibi za usiku ukitaka kulala ninachojuwa mim wakati wao wanaongea huku serikali namaana vyombo vya ulinz na usalama vinajiandaa sasa kwa wale vijana wanaoenda angalieni usije ukawa wa demo
 
akili za bavicha. wanashauriana kutenda jinai.

Wanaotenda jinai ni hao wanaoandaa mkutano kinyume na agizo la Rais la kutofanya shughuli yoyote ya kisiasa hadi 2020, pia marufuku iliyopigwa na polisi kukataza mikutano ya kisiasa ya aina yoyote (hata ya ndani) kwa vyama vyote vya kisiasa, wanaokwenda kuzuia mkutano huo wako upande wa sheria kuhakikisha agizo last Rais na jeshi la polisi linatekelezwa!
 
Mzee wangu wakati anafariki aliacha fixed account kwà ajili ya mambo ya ada, nitamaliza shahada ya kwanza, ya pili na nikitaka hata ya tatu bado pesa itatosha tuu... Namalizia mitihani ya mwisho wa semester. roho, akili na mwili viko tayari kabisa kwa safari ya dodoma mkuu!!!


Basi jifunze hata kuandika vizuri kwanza ni Dodoma!
 
UVCCM mnapenda kugofya wengine.

Kama wewe ni muoga wa kufanya jambo fula acha kumuogopesha mwingine.
Akili zenu zinawatosha nyinyi wenyewe.
 
Kila kitu kiko sawa yakiwemo mabomu ya kurusha kwa mkono
Ni lazima haki iwe sawa
La sivyo patachimbika
Safari inaanza siku 10 kabla
 
Back
Top Bottom