Habari wanajamii wenzangu,
Ningependa kuwaambia hili wenzangu kama unalijua vizuri kama hujui haya ujue
Kwa wale wapenzi wa kupanda Boda boda kwaajili ya kuwahi kwenda sehemu husika.
Kuwa makini sana kupanda boda boda isiyokuwa na side view mirror, nimeelezwa na mwenye bodaboda kuwa boda boda hizi huwa wenyenazo ni vibaka.
Mwenye boda boda anatoa side view mirror zote, anakunja kidogo usukani unarudi kwa ndani...akifanya hivi inamsaidia pale ambapo amekwapua halafu anakimbizwa inakuwa rahisi kwa yeye kupenyeza popote hata katika uchochoro.
Ila akiacha kuondoa vioo vile ni vinachukua upana fulani na usukani unachukua upana fulani hivyo inakuwa ngumu wakati anakimbizwa kupenya, inabidi akwepeshe kwepeshe bodaboda.
Ndio hivyo kuwa makini...