Tahadhari kuu

Tahadhari kuu

Kuna vicamera vingine ni vidogo mno,si rahisi kuviona labda uwe na chombo cha kuchunguzia ndio utaviona.
 
Huo msemo hauna maana kama ukilijua dhumuni lako la kuishi... Whats the purpose of life?
MKUUU,utaka kumaanisha kua ukisha jua dhumuni lako la kuishi hupaswi kutilia mashaka baadhi ya mabo usiyo yaelewa vizuri?,kama ndivyo duniani watu wa aina yenu mko wachache sana na ninadhani ni robot tuu ndo wanaweza hiyo hali ya kutokua na mashaka na jambo lolote.nawaza kwa sauti
 
Dunia ina mambo mwengi, Utatilia mashaka vitu vingapi?? Na kwanini uchague kuwa na maisha yenye mashaka,,?? Just play your role then Go away, wapo wengi waliokuwepo na wakapita, Live accordingly
 
heshima kwako mkuu nadhani tukubaliane kutokukubaliana katika hili.cha msingi maisha yanasonga.
 
Ukiona unaanza kuishi maisha ya hofu, ujue maisha yako yameshapoteza maana
Hapo ni wachache tu ndio watakao kuelewa. Unavuna ulichopanda siku zote.
Always the law of attraction at work.
 
Crooked mind, mwanadome. Si kwamba mimi ni mtakatifu lakini mambo mabaya tunajitakiaga sisi wenyewe wanadamu.
fafanua mkuu,maana nadhani hata mnyama hua anakwenda kwa tahadhari,labda nyumbu tuu ndo hua anajieendea tuu
 
Ngoja nianzie kwenye kanuni ya kupanda na kuvuna. Ukipanda mema(ukiwaza mema), pia utavuna mema.
Ikiwa unapanda mema ktk kichwa/mawazo yako. Hiyo hali ya kuwa na wasiwasi wa ainayeyote hutokuwanayo.
 
hata katika kupanda huanzi tu kupanda lazima ujue unachokipanda na wapi unakipanda,kitendo cha kujua nini kinapandwa na wapi kinapandwa ndo wasiwasi yenyewe yaani kujiridhisha kwanza kabla ya kupanda.
 
Back
Top Bottom