waswahili tunasema wasiwasi ndo akiliUkiona unaanza kuishi maisha ya hofu, ujue maisha yako yameshapoteza maana
STUNTER hizi picha nyingi za ngono zinazosambazwa mitandaoni na kudhalilisha sana watu na kuleta usumbufu mkubwa kwenye familia na wahusika si kila mtu alipigwa kwa ridhaa yake! Kwahiyo bado ni muhimu kuwa makini unapoingia hayo maeneoUkiona unaanza kuishi maisha ya hofu, ujue maisha yako yameshapoteza maana
Katika jamii tunapaswa kujitahidi kwa gharama zote kuishi kwa amani bila wasiwasi na watu wanaotuzunguka.
Huo msemo hauna maana kama ukilijua dhumuni lako la kuishi... Whats the purpose of life?waswahili tunasema wasiwasi ndo akili
Ila sasa sijui tutafanyaje maana unaweza kwenda hotelini umechoka na kazi za kutwa nzima (hasa sie wengine kazi za field) sio rahisi kukumbuka kuchungulia bulb, mweeeee!Uswazi ni chabo
Mashana jr natafuta taa ya hivyo kwa security purpose ndani kwangu maana nina mdokozi
peke yangu lakini si ninavua nguo!Ukiwa peke yako ama?
huwa nalala mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuu![]()
![]()
zote?