Tahadhari kuna wezi wapya wanatumia madawa

tobaa yahilah......nimekwisha mie.....uwiiiii.......

Hahaha pole sana!

Sasa tatizo sio handsome tu alikuwa ana drive gari binafsi nzuri na akampa lifti first day akampeleka hadi alipotaka wakabadilishana contacts. Siku ya ki date ndio ikawa balaa.

Chunga mamdogo :becky:
 
Wabongo tuache ukarimu uliopitiliza kwa strangers, binafsi nina utaratibu wa kutojifanya mkarimu kwa mtu yoyote nisiyemfahamu. Wengi huja na gia kama hizo, "Eti hospitali ya kutibu kuvimbiwa ipo wapi?", eboh! kwani mjini nilikuleta mimi.
Juzi kati hapa Morocco kijiwe cha wazee wa Favor, nimekutana na mbulula kama huyo, "E bwana huwa nakuona sana mitaa ya Mkwajuni, hivi huwa unaishi kule eeh"...kwanza nilimkata jicho moja kali, halafu nikamwambia nitatawanya sasa hivi ubongo wako. Yule bwana mkubwa haja kubwa na ndogo zote zilikua zinagonga chupi na makalio kumtetemeka kama kia la kondoo....

......kujifanya wakarimu ndo kunakowaponza watz...........j
 
......kujifanya wakarimu ndo kunakowaponza watz...........j

mara nyingi ukiona mtu usiyemwelewa, kam ani mwelewa ukimpa jibu kinyume na tarajio lake atasepa...
lakini hawa juakali, huwa wanakuwa ving'ang'anizi, sasa dawa yao ni kuchimba biti la hatareee...
 
anavyosema: Yeye walimwita wakamgusa na wakamwambia unajua unashida sana na pesa akasema ndiyo , basi sis tumekuona una shida sana na tukaona tukusaidie. Unatoka Tz ,kayanga na umekuja kununua vitu hapa. utupe pesa zako zote ili tuzidishie mara 10. Akasema sina hapa bali twende Bank, wakamwambia paki gari lako alafu tupande Tax(daladala za uganda uitwa tax) twende bank. akapaki gari wakaenda Bank ,wao wakakaa mbali kidogo akaenda kuchukua hela ,network ikagoma. Wakati anahangaika akaja mtu akamgusa akamuuliza unafanya nini hapa ,ndo akaanza kushangaa na watu wakatimka, basi akaeleza mkasa wake hivyo. Wakamwambia uhuni huu hapa upo sana na anayekuchomekea anapewa naye mzigo, akaenda hospital bahati nzuri hakuwa amewekewa sumu japo alichanjwa kidogo na kiwembe

Duuh!!! hiyo kweli inatisha kumbe inaonekana kuna aina fulani ya nguvu za giza zinatumika hapa!! sasa wabongo inabidi tuwe makini sana.
 
Back
Top Bottom