Tahadhari jamani....

Tahadhari jamani....

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Tulikua tumekaa sehemu na brother tunapiga story na kesto .......mara alipita mtoto mmoja matata sana, wote tuliokua pale grocery tulimgeukia.... alionekana pia ni mdogo kiumri. Sehemu tuliyokua tumekaa ilikua karibu na barabara na huyo mtoto alikua anapita njia tu...

Bro akaniambia unajua watoto wa age ya 14- 18 sasa hivi wengine wao wengi wana HIV? .....nilimkata kauli nikamwambia sio kila mtoto unayemuona ni m*laya.... akaniambia hamaanishi hivyo...akasema wengine utawakuta hata ni Bikra....alisema sababu ni kuwa watoto ambao wazazi wao waliaacha na maambukizi na amboa walitumia dawa za ARV sasa hivi ni wakubwa na watu wengi huwa wanaingia mkenge wakizani ni salama kwa sababu ni watoto...wengine sasa hivi ni watarajiwa wa kuoa au kuolewa....

Kuweni makini hasa nyie mnaosoma na mnaoanza mahusiano...usimuone mtoto ukazani salama...pia kama unataka kuoa umepata kabinti au mkaka...nendeni kwanza mkapime..au jaribu kufatilia history yao.
 
kweli, hali inatisha sahivi. vizee na vitoto vyote balaa tupu.
 
Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie

Ni kweli Dena, ninajua mtoto mmoja wa mfanyakazi mwenzangu ameanza Chuo sasa. Yaani inauma sana, maana dawa isipopatikana unawaza huyo mtu ataoa kweli?

Siri nyingi zipo kwenye familia, nafikiri ni muhimu tukiwakumbusha watoto zetu juu ya uwepo wa watoto waliozaliwa na virusi mashuleni hivyo wajiepushe na ngono nzembe wakifikiri kwakuwa ni bikira maana yake ni salama.
 
Last edited by a moderator:
hii ni kitu mpya aisee...inabidi kuifuatilia kwa makini
 
Kweli,hasa wanaume jamani msijisahau tena watoto wa siku izi wazuri ajabu,,,
Mkumbuke afya zenu wakati unapoanza mahusiano na mtu mpya
 
Ni kweli Dena, ninajua mtoto mmoja wa mfanyakazi mwenzangu ameanza Chuo sasa. Yaani inauma sana, maana dawa isipopatikana unawaza huyo mtu ataoa kweli?

Siri nyingi zipo kwenye familia, nafikiri ni muhimu tukiwakumbusha watoto zetu juu ya uwepo wa watoto waliozaliwa na virusi mashuleni hivyo wajiepushe na ngono nzembe wakifikiri kwakuwa ni bikira maana yake ni salama.

Kaunga inatisha kwa kweli.........nakumbuka wakati nasoma boarding...kulikua kuna kitu kinaitwa welcome form 1......kwa wale wakidato cha tatu na kuendelea huwa wanavidanganya visichana vidogo vilivyoanza wanaenda kuvinanilii kabla havijajanjaruka...na huwa hamnaga kinga.....baada ya hapo atakaye toa bikra nyingi ndio mjanja....sasa kama hali bado iko hivyo kwenye boarding schools basi itakua ni balaa.
 
hii ni kitu mpya aisee...inabidi kuifuatilia kwa makini

Watu8 wala sio kwako tuu...mimi mwenyewe nilishtuka sana......ipo na ogopa sana vitoto vidogo hivi. Utakuta bado kana bikra kumbe maskini wazazi walimpa maambukizi toka alvyozaiwa.....
 
Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie

Dena 14yrs ya karne hii ni tofauti...na 14yrs ya sasa hivi yuko form 1 au 2....na tayari ana boyfriend au girlfirend..sasa wote wanajiona ni watoto na wako salama..kumbe mmoja wao alizaliwa nao ,alipata maambukizi kutoka kwa wazazi....ni bomu linakuja tuombe sana Mungu na kuwakumbusha watoto wetu usalama wa afya zao.
 
Hiyo hali ni kweli kabisa , na wala si uongo, mm ninaye mtoto wa hivyo na yuko form three sasa, wazazi wake walifariki wote, kwa kweli inaniumiza kichwa sana ninapomkuta kasimama na visichana, ilibidi nimpeleke kwa doctor akaongea naye, ilimpa shida sana kukubali lakini nashukuru Mungu ameelewa kwa sasa. Lakini sasa sisi ambao tumeachiwa hao watoto hatuna jinsi inabidi kuwalea , maana hatuwezi kuwatupa.

Huwa nakaa na kuwaza kuwa iko siku hata hawa ambao hawana maambukizi kwa kizazi kijacho wooote watakuwa wameambukizwa, maana huko vyuo wanakutana na wanaume na wasichana , YAANI NI KUOMBA MUNGU DAWA IPATIKANE LA SIVYO KIZAZI KIJACHO CHOOOTE KITAKUWA KIMEATHIRIKA.
 
Ni kweli namjua dada mmoja ana 27, amezaliwa nao. Mama yake mlezi nafanya naye kazi, ndio alitupa story ya huyo mdada. Tena sasa hivi yupo mwaka wa pili SAUT. Huwezi kumjua, ila anatumia ARV.

Ingekua vizuri hii post MOD asiitoe ili watu wengi wapate huuu uelewa....
 
bora sie tunaojigegedea malaya...hatuna shida ya kuwaza ngoma
 
Mmmmmhhh 14yrs hakuna hata dalili? Ngoja MziziMkavu aje anisaidie
bbie Dena Amsiinategemes huenfs hyo mtto alizaliwa na vijidudu vya HIV alivyopata kutoka kwa mama yake si kwa jili ya zinaa inatokea lakini sio sana.

Ni kweli Dena, ninajua mtoto mmoja wa mfanyakazi mwenzangu ameanza Chuo sasa. Yaani inauma sana, maana dawa isipopatikana unawaza huyo mtu ataoa kweli?

Siri nyingi zipo kwenye familia, nafikiri ni muhimu tukiwakumbusha watoto zetu juu ya uwepo wa watoto waliozaliwa na virusi mashuleni hivyo wajiepushe na ngono nzembe wakifikiri kwakuwa ni bikira maana yake ni salama.
bibi Kaunga kama ndio hivyo basi ni hatari sana ohhh sorry.
 
Last edited by a moderator:
mmh tahadhari muhimu kwa yeyote iwe below au above 18
 
Hiyo hali ni kweli kabisa , na wala si uongo, mm ninaye mtoto wa hivyo na yuko form three sasa, wazazi wake walifariki wote, kwa kweli inaniumiza kichwa sana ninapomkuta kasimama na visichana, ilibidi nimpeleke kwa doctor akaongea naye, ilimpa shida sana kukubali lakini nashukuru Mungu ameelewa kwa sasa. Lakini sasa sisi ambao tumeachiwa hao watoto hatuna jinsi inabidi kuwalea , maana hatuwezi kuwatupa.

Huwa nakaa na kuwaza kuwa iko siku hata hawa ambao hawana maambukizi kwa kizazi kijacho wooote watakuwa wameambukizwa, maana huko vyuo wanakutana na wanaume na wasichana , YAANI NI KUOMBA MUNGU DAWA IPATIKANE LA SIVYO KIZAZI KIJACHO CHOOOTE KITAKUWA KIMEATHIRIKA.

Kizazi cha waathirika!!! Ee Mola tusaidie........
 
Back
Top Bottom