Tahadhari hawa wanaojiita Activist Organization

Tahadhari hawa wanaojiita Activist Organization

LWENYI

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,839
Reaction score
2,173
Wakuu hawa watu walitangaza post za CIVIC AND VOTERS EDUCATION FIELD OFFICERS

Huko zoom ndo niliona na sijui kama na sehemu nyingine wametangaza na wameanza kuwatumia watu e-mail wakitaka wafanye verification ya certificate zao kupitia law firm wanayodai wameichagua at the cost of 51500 via M-pesa huu ni utapeli mimi natahadharisha tuwe makini sana na suala hili naona harufu ya watu kuliwa hapa kataeni mail hizo na msithubutu kabisa kulipa hizo pesa.

Asanteni!
 
Hata mimi mkuu wamenitumia email ya kutaka 51500 ya kucertify vyeti kwa mwanasheria wao.
 
Mie nasubiri jumatatu niende pale na police nikawachape makofi tuu
 
me nimepata e-mail asubuhi hii niliivyoona hela ya kucertify nikadelete
 
Wahuni hawa halafu wanakwambia simu zao hazitapokelewa kwanini wasiajiri mtu wa huduma kwa wateja?
Watu wataliwa hapa. Na ni kweli kila mtu kapita bila interview
 
Ni kweli mimi mwenyewe nshakuwa certified na September naanza kutoa elimu
 
Ulilipa wapi hyo pesa??ulienda oficin kwao?ofic zao ziko wap??we Ss3 tupia no yako bas tuwasiliane
 
Hao ni matapeli hakuna organisation hapo wala Nazi hiyo, wengi wataibiwa
 
Back
Top Bottom