Hiyo tabia ya kipambavu ya kununa nuna hata watu wazima wa 30s wanayo.Huwa vinanuna nuna ovyo!
Yaan kanaweza kukuomba pesa kamtumie rafiki yake anaumwa ukikapa kesho tena kataomba ukikanyima kananuna balaa!
Ukiangalia ulikakuta kamemaliza shule kakapigika mtaani afu ndo ukakaokoa na vijana wa bodaboda!.
Ila kwao yaani familia yao huwa wanakuaga na heshima sana na wanajua kuwa unakavumilia tu kabinti kao!
Daaaah huyu si ndo mjane wa uchagani au majicho yangu mabovu!!?
vyenyewe vinataka kuchati muda wotw ndio mapenzi ya kweliHivi vidude vinasumbua balaa, viko kama chaja ya kobe kinaingia kila simu. Ukijipinda dakika sifuri wahuni washakinodoa
vyenyewe vinataka kuchati muda wotw ndio mapenzi ya kweli
Hatari kweli kweli
Vibinti vinachosha tu,wakubwa ni wazuri tena wanakulazimisha njooo uweke....Binafsi sijawai kuvila vitoto vinuka mkojo huwa vinakuwa na usumbufu yani mkiwa kanisani vinataka kuchati
Tatizo ni wasumbufuAcha kuwatisha wenzio, damu changa ndio yenyewe sasa. Vitoto bado vibichiii, vya motoooo.
Utu uzima dawa, vikisumbua unavituliza.Tatizo ni wasumbufu
Sisi wengine hatupendi ahadi hewaUtu uzima dawa, vikisumbua unavituliza.
Right on your replay.....Daaaah huyu si ndo mjane wa uchagani au majicho yangu mabovu!!?