kweli mkuu.. huo mchezo upo sana hapa Dar!! na mshindi hupokea $10,000/- kwa kila roundi !!Wakuu hii barabara ya Ali hassan mwinyi road hasa kuanzia mataa Morocco mpaka mjini kinatisha sana,gari zinakimbia mno hasa usiku mkubwa.Hapa zimepita subaru mbili halafu moja imezima taa kabisa zinafukuzana mbio.drag race kills.
tahadhari muhimu.
mkuu i bet una ka spacio au ka vitz old model...acha wenye masubaru yetu tusumbue mjini...hahakweli mkuu.. huo mchezo upo sana hapa Dar!! na mshindi hupokea $10,000/- kwa kila roundi !!
Kama wana-control nzuri it's so fun, sport cars ndio kazi yake iyoWakuu hii barabara ya Ali hassan mwinyi road hasa kuanzia mataa Morocco mpaka mjini kinatisha sana,gari zinakimbia mno hasa usiku mkubwa.Hapa zimepita subaru mbili halafu moja imezima taa kabisa zinafukuzana mbio.drag race kills.
tahadhari muhimu.
Usingeweka iyo alama ya $ labda ungeeleweka..kweli mkuu.. huo mchezo upo sana hapa Dar!! na mshindi hupokea $10,000/- kwa kila roundi !!
Kumbee. Hasa wa Upanga na Masaki nafikiri!!kweli mkuu.. huo mchezo upo sana hapa Dar!! na mshindi hupokea $10,000/- kwa kila roundi !!
Wakuu hii barabara ya Ali hassan mwinyi road hasa kuanzia mataa Morocco mpaka mjini kinatisha sana,gari zinakimbia mno hasa usiku mkubwa.Hapa zimepita subaru mbili halafu moja imezima taa kabisa zinafukuzana mbio.drag race kills.
tahadhari muhimu.
Usiku ndiyo mbaya sana. Unafikiri ni kwa nini madereva wengi hasa Dar wanaendesha kwa angalau adabu mchana, ni kwa sababu ya traffic police. Usiku hakuna Police, hata kwenye red light wanavuka tu, walevi, wahuni nk. Ni hatari sana, afadhali hata mchana speed ndogo kqa sababu ya foleni pia ni afadhali mchana ukipata ajali unaweza kupata msaada wa haraka kupelekwa HospitaliKwa mid-nights sio mbaya boss, risk ni ndogo
Halafu usiku ni hatari zaidi,ukipata ajali salender hesabu maumivu,wahuni watakuzingira fasta kabla ya msaada.Usiku ndiyo mbaya sana. Unafikiri ni kwa nini madereva wengi hasa Dar wanaendesha kwa angalau adabu mchana, ni kwa sababu ya traffic police. Usiku hakuna Police, hata kwenye red light wanavuka tu, walevi, wahuni nk. Ni hatari sana, afadhali hata mchana speed ndogo kqa sababu ya foleni pia ni afadhali mchana ukipata ajali unaweza kupata msaada wa haraka kupelekwa Hospitali
wee chezea wahindi wee iko pesa !!!!Usingeweka iyo alama ya $ labda ungeeleweka..
Chakubimbi umerudi eeeeeh!!!!WAKIPATA AJALI SISI NI KWENDA KUWA SACHI TU.....
OVA
Teh Teh sema weeChakubimbi umerudi eeeeeh!!!!