TAHADHARI: Airtel waanza mtindo wa kuibia wateja wao

Jana nilijiunga na bundle ya Tsh 9999 kwa mwezi, ambayo ni bundle ya mwezi,cha ajabu kila nikipiga simu wananiambia huna salio Leo nimeenda ofisi za AIRRTEL binti niliyemkuta alikili kuwa anaona salio katika akaunti yangu, lakini alipocheki salio kwenye simu yangu alishangaa,akaanza kusema ulitumia na alipohesabu dakika nilizotumia akaona kweli nawadai na akashindwa kabisa kuelewa kilichotokea na akaniahidi ananifungulia malalamiko ili watu wa IT wachunguze kilichotokea.

Nilipotoka nje jamaa mmoja akanambia wewe ni wa tatu kulalamika leo tu na akaongezea kuwa bila shaka wanakopesha watu hawalipi, kwa hiyo wanajaribu kufidia kwa kuwakata wateja wakubwa wanaoweka hera nyingi, kwa sababu wanaolalamika ni ambao wameweka hera nyingi. Watumiaji wa Airtel kuweni macho.

Yawezekana kilichotokea kwako ni sawa na kilichotokea kwangu, niliwahi kukopa salio katika Airtel, baada ya kupewa salio nakutumia, ikabidi nilipopata hela nikanunua vocha.

Ile vocha ilikuwa ni ya kifurushi nikajiunga moja kwa moja na kifurushi ikanijibu umefanikiwa kupata dk.....wakati napiga cm nikajibiwa huna salio la kutosha kupiga cm hii! kwa mshangao nikasema hawa Airtel ni wezi tena nilianza kupayuka mbele za watu kwamba Airtel majizi, baadae nikamtafuta mtu Airtel ili anieleze inakuaje salio nimeweka na ikanijibu nimefanikiwa alafu ninapopiga cm naambiwa sina salio?.Yule jamaa kwanza akanipa pole maana nilishakuwa natoka jasho kwa hasira, akaniuliza je ulishawahi kukopa salio? nikasema ndio,umeshalipa nikamjibu ndio na vocha ya kifurushi nilichojaza hii hapa. Ndipo akanifafanuliakwamba kama umekopa salio unapojaza vocha hakikisha unajaza kama vocha yani usijiunge na kifurushi kwa sababu utakapojiunga na kifurushi lile deni lako halitapunguzwa kwa sababu wewe haukukopa kifurushi bali ulikopa Airtime, hivyo ni lazima kwanza ulipe deni lako kwanza kama salio na sio kama kifurushi kasha ndio uendelee na ama mkopo mwingine ama kifurushi kingine.

Yawezekana na wewe ndugu hicho kilichokutokea kama sivyo basi systems are not hundred percent perfect, sio kila tatizo ni wizi mkuu just seek elaboration from the customercare.
 
Mkuu mimi sijawahi kukopa na wala sielewi kukopa unafanyaje. Taasisi yangu ninayofanyia kazi huniwekea muda wa maongezi wa laki mbili kila mwezi na sijawahi kumaliza hata nusu ya muda huo kwa mwezi.
 
Jana nilijiunga na bundle ya Tsh 9999 kwa mwezi, ambayo ni bundle ya mwezi,cha ajabu kila nikipiga simu wananiambia huna salio Leo nimeenda ofisi za AIRRTEL binti niliyemkuta alikili kuwa anaona salio katika akaunti yangu, lakini alipocheki salio kwenye simu yangu alishangaa,akaanza kusema ulitumia na alipohesabu dakika nilizotumia akaona kweli nawadai na akashindwa kabisa kuelewa kilichotokea na akaniahidi ananifungulia malalamiko ili watu wa IT wachunguze kilichotokea.

Nilipotoka nje jamaa mmoja akanambia wewe ni wa tatu kulalamika leo tu na akaongezea kuwa bila shaka wanakopesha watu hawalipi, kwa hiyo wanajaribu kufidia kwa kuwakata wateja wakubwa wanaoweka hera nyingi, kwa sababu wanaolalamika ni ambao wameweka hera nyingi. Watumiaji wa Airtel kuweni macho.

Airtel kwa wizi ndo baba lao, hawajaanza leo ila we ulikuwa hujawashtukia. Wizi ndo sera kampuni.
 
Bado unadaiwa Tsh 632.98 katika mkopo wako wa TIMIZA. Rejesha kiasi hicho haraka kuepuka taarifa zako binafsi kupelekwa kwenye taasisi za kisheria
 
Kama hayajakukuta unaweza usiamini,mimi tangu juzi sipati huduma ya 3G kwenye line yangu ya airtel sasa jana nikawapgia wakasema watanitumia setting very soon mpaka kunakucha sikuona hiyo sms ya setting,jioni hii nikawapgia tena wakasema ili niweze kuongea nao inabdi nikatwe sh 60 nikakubali wakakata nikaongea nao jibu likawa lilelile kama la jana kuwa watanitumia setting mpaka mdaa saa 22:50 sijaona chochote.Ama kweli airtel ni baba lao kwa wizi.

mtandao wao toka Jumatatu hauna 3G network kwenye baadhi ya maeneo na hakuna juhudi zozote wanazofanya kutatua tatizo..
 
Bado unadaiwa Tsh 632.98 katika mkopo wako wa TIMIZA. Rejesha kiasi hicho haraka kuepuka taarifa zako binafsi kupelekwa kwenye taasisi za kisheria

he ...!! yamekuwa hayo tena.Hapo nimekwisha !&?!!
 
Mara nyingi naona watu wakilalamikia wizi wa makampuni ya simu nimeona malalamiko juu ya voda, tigo na leo naiona airtel, nahisi labda ni matatzo tu ya system sidhani kama kuna kampuni kati ya hizo inakusudia kwa makusudi kumuibia mteja wake,
 
Mimi Ni Mtumiaji Wa Mtandao Wa Airtel,Ila Sijawahi Kuweka HERA Kwenye Simu Yangu,Huwa Naweka HELA. Sijajua Bado Hizo HERA Mnazoibiwa Ni Kitu Gani.

Ndugu haya yanayosemwa ni sahihi kabisa!
Mimi binafsiilinitokea wiki chache zilizopita, nilituma pesa kimakosa kwa mtu mwingine lakini muda huohuo nikaomba msaada kwa customer care na kijibiwa pesa imeshachukuliwa yote, ilikuwa zaidi ya laki 5.
Kilichofuata nikafuatilia kimyakimya kwa msaada wa ambaye nilituma kwake pesa kimakosa na akanijulisha hajatoa hata senti tano.
Hatimaye pesa walinirudishia yote baada ya wiki bila kueleza ilienda wapi mwanzoni.
Ushauri wangu ni kwamba ukipata tatizo kwenye mitandao ya simu wakati wa kufanya miamala ya fedha toa taarifa mapema kwani yawezekana kuna baadhi ya wafanyakazi si waaminifu na kupelekea matatizo kama haya yote, nafahamu kuwa muda mwingine linaweza tokea tatizo la kiufundi ila si kwa kiwango kikubwa sana kiasi kukawa na malalamiko kiasi hiki
 
Ndugu zangu mtandao km mtandao sio wezi ila wafanyakazi baadhi wa airtel ni kiboko kwa wizi. nimejiridhisha na hili baada ya kuwa na urafiki na mfanyakazi wa huko kila akiongea dili ni la kuwaibia wateja. na wana mbinu ambazo ni hatari sana hasa upande wa airtel money. mimi ni wakala pia wa mitandao ya voda na airtel lakini ukweli bora voda kuliko hawa majambazi ambao kila mtu anaweza kuswap simu ya mteja. kwa kutunza hela cwashauri mtumie airtel money maana wana njaa sana na hela za wateja wakiona una pesa nyingi kwenye account na una wiki huitumii basi imekula kwako maana wanaiswap na kuitengeneza ionekane haijawahi kutumiwa na mteja yeyote sasa cjui utaenda wapi na hata ukienda tcra huo muda na gharama vp. airtel wabadilishe mifumo yao vinginevyo hata sisi mawakala tutawakimbia maana kufanya nao biashara ni hasara tupu.
 
Niliwaha nikaenda tigo nao wakaniibia nikahamia voda nao juzi nimeweka vocha lakini salio linapungua kila kukicha hata kama sijapiga sim ukiuliza wanakwambia eti kuna huduma umejiunga, sijui awamu hii nikimbilie wapi

jaribu TTCL mkuu
 
Kama hayajakukuta unaweza usiamini,mimi tangu juzi sipati huduma ya 3G kwenye line yangu ya airtel sasa jana nikawapgia wakasema watanitumia setting very soon mpaka kunakucha sikuona hiyo sms ya setting,jioni hii nikawapgia tena wakasema ili niweze kuongea nao inabdi nikatwe sh 60 nikakubali wakakata nikaongea nao jibu likawa lilelile kama la jana kuwa watanitumia setting mpaka mdaa saa 22:50 sijaona chochote.Ama kweli airtel ni baba lao kwa wizi.
Hela unazokatwa na bado huduma hupati....lakini hawakurudishii hela yako
 
Ni kweli kbsaa wamekuwa vinara wa wizi sasa mm jpili nilinunua muda wa maongezi wa 499 cha ajabu nikapata ujumbe niwasiliane na customer care bdae wakaniambia nitajulishwa nimefuatilia mpaka ss nimesalimu amri!! Ni wezi hawa na hawajui kusikiliza mteja. Jmn tusikubali kuibiwa hvhv tupaze sauti wahanga wote kwa pamoja ili vitendo hivi vikome.

apo kwenye kusalimu amri apo pananihusu. Mimi walinifutia bundle ya 9999 ndani ya siku tatu tu. na Salio la TZS 21,000. nimeipiga simu customer care zaidi ya mara Sita. na pia nikaenda pale dukani kwao mlimani city. lakini hakuna nilichoambulia.
 
Back
Top Bottom