Tahadhari ACT na kwa Wazanzibari

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,226
3,290
Lazima kuwe na tahadhari na plan ABC. Kauli za akina jaji Mutungi na upepo unavyovuma mjiandae vizuri. Kuna mitonyo haipaswi kupuuzwa. Wahafidhina Wana malengo ya kumzuiya Maalim Seif asigombee Tena kwa mbinu zote. Vikao vimeanza baada ya Maalim kwenda ACT. Kuweni makini na Sheria mpya ya vyama. Angalieni hujuma. Zipo taarifa kuwa mnaweza mkaachwa ili hapo baadae muwekewe vikwazo ambapo muda wa mwaka mmoja utakuwa umepita. Waliomtuma Lipumba wanatafakari njia elfu moja kumthibiti maalim na yumkini sasa ACT Ni adui mpya wa wahafidhina wa Zanzibar.kuweni na hadhari. Kwa hisani ya mtu wa Tanzania.
 
Ungeichambua hoja yako kwa undani kidogo ingekuwa poa sana....

Lakini ulichofanya ni ku - brush juu juu tu na kutuacha wasomaji wako hewani bila kuielewa hiyo mikakati kwa undani....

Hata hiyo sheria ya marekebisho ya vyama vya siasa hujaihusianisha kwa uchambuzi wenye hoja za nguvu namna itakavyotumika (in case itasainiwa) kumzuia Maalim Seif kutumia haki yake ya kikatiba na kiraia kushiriki uchaguzi na kuomba kuchaguliwa....

Na vikao vya kumsukia zengwe vinafanyikia wapi? Wanalisukaje hilo zengwe?
 
Mkuu tulia utajulishwa. Tosheka tu kwamba vikao vimeanza.
 
Kwa hivyo weye ulitegemea tu kwamba Maalim ataachiliwa azidi kuuvuruga muungano?? Siku yaja, atakapo amua kujiuzulu apishe mwengine akute; Too late
 
Lazima kuwe na tahadhari na plan ABC. Kauli za akina jaji Mutungi na upepo unavyovuma mjiandae vizuri. Kuna mitonyo haipaswi kupuuzwa. Wahafidhina Wana malengo ya kumzuiya Maalim Seif asigombee Tena kwa mbinu zote. Vikao vimeanza baada ya Maalim kwenda ACT. Kuweni makini na Sheria mpya ya vyama. Angalieni hujuma. Zipo taarifa kuwa mnaweza mkaachwa ili hapo baadae muwekewe vikwazo ambapo muda wa mwaka mmoja utakuwa umepita. Waliomtuma Lipumba wanatafakari njia elfu moja kumthibiti maalim na yumkini sasa ACT Ni adui mpya wa wahafidhina wa Zanzibar.kuweni na hadhari. Kwa hisani ya mtu wa Tanzania.

Adui wa wengi ni adui wa Mungu nae atapigwa mapigo saba ukijua hili wenzio wanajua lile.Siasa ni karata unaweza kula au liwa,KANU ilicheza karata ikaliwa,ccm itacheza karata then itageuka italiwa siku zaja,walitaka kummaliza maalimu kisiasa kupitia lipumba ndo wamempaisha karuka kiunzi yaani kagawa maumivu sehemu Tatu kwa lipumba,mutungi na ccm,lipumba kabaki analia lia mara maalimu kasaliti mara sijui nn anatamani siku zirudi ili wapatane,ccm washamtumia watamtupa kama MREMA,Ccm wameongeza petrol kwenye moto huku lissu kule zito na hawa si Lowasa wa kusema tuweke mpira chini
 
Lazima kuwe na tahadhari na plan ABC. Kauli za akina jaji Mutungi na upepo unavyovuma mjiandae vizuri. Kuna mitonyo haipaswi kupuuzwa. Wahafidhina Wana malengo ya kumzuiya Maalim Seif asigombee Tena kwa mbinu zote. Vikao vimeanza baada ya Maalim kwenda ACT. Kuweni makini na Sheria mpya ya vyama. Angalieni hujuma. Zipo taarifa kuwa mnaweza mkaachwa ili hapo baadae muwekewe vikwazo ambapo muda wa mwaka mmoja utakuwa umepita. Waliomtuma Lipumba wanatafakari njia elfu moja kumthibiti maalim na yumkini sasa ACT Ni adui mpya wa wahafidhina wa Zanzibar.kuweni na hadhari. Kwa hisani ya mtu wa Tanzania.
Kwanza rasharasha zinakuja kesi za act kupora mali za cuf. Hizo kesi kwanza zs kuwatoa kwenye reli..yajayo yanafurahisha.
 
We are always got plan bcdefg.. Usichezee wazanzibari wewe, tulia, wapo watu ambao ni maalim seif, Yaani akiondoka maalim seif ankuja maalim seif mwengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom