Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,062
Naunga mkono hoja..Nadhani huu wizi wanawafanyia wateja wachache kwa zamu. Mi walishaniibia tayari. Tuweke kumbukumbu za tarehe ili siku tukishtaki tcra tuwe na ushahidi
Naunga mkono hoja..Nadhani huu wizi wanawafanyia wateja wachache kwa zamu. Mi walishaniibia tayari. Tuweke kumbukumbu za tarehe ili siku tukishtaki tcra tuwe na ushahidi
Nao Tigo ni Wasenge sana..majizi makubwa...Mimi nliwahama pia kwaajili ya tabia hiyo nkarudi Tigo ila kwa jinsi tigo walivyozipunguza Mb hainabudi kurudi tena Halotel.
Jaribu kuzima simu kabisa tuonemi ni mteja wao karibu miezi 5 ila kwangu hilo tatizo lina week moja nilkuwa nasikiaga kwa wengine,Its just a matter of time utakuja simulia au jaribu kuzima data hata usiku ukilala,amka asubuhi ucheki salio utagundua kitu kwa hao jamaa
Ninampango wa kuhamia huko TTCLSijawahi ona mtandao unaoiba kama Halotel naitafuta laini ya ttcl
Unatumia simu gan. Kuna mtu ananiambia eti simu nayo inasababisha bando ikimbie sana.
Iphone mkuu yan kwangu wiz haupo
Mi sijajua tatizo hasa ni nini kwa hawa Vodacom.Maana unajiunga na bando zao ziwe za MB ama za muda wa maongezi zinakatika utafikiri sijui kitu gani .Wajirekebishe.TCRA washughulikie suala hili.Hakuna mtandao majizi na Matapeli wa MB kama Voda
Kweli voda hawafaiMi sijajua tatizo hasa ni nini kwa hawa Vodacom.Maana unajiunga na bando zao ziwe za MB ama za muda wa maongezi zinakatika utafikiri sijui kitu gani .Wajirekebishe.TCRA washughulikie suala hili.
Kweli kabisa voda weziHakuna mtandao majizi na Matapeli wa MB kama Voda