Wakazi wa Dodoma kuweni makini na mtu anajiita Robart Maiko simu no 0755702386, huyu anajifanya ana madini anatafuta soko ambalo ni RC Iringa road,baadaye anatokea mwingine aitwa Robati 0785370008 huyu anajifa anawafahamu wanunuaji ambapo atampigia sister Molio 0713727388 huyu nae ni miongoni mwa matapeli hao atakuja tena na gari kukuondoa mashaka.
Mwanamke huyu ni mama wa makamu anajifanya kupima mzigo kwa kemikali fulani kisha anampigia sista mwingine 0762690084 kumwambia kuwa mzigo uko sawa sasa mwisho wa siku wanakwambia mzigo unakabidhiwa unatoa pesa ka laki mbili kama kianzio kwani mwenye madini anajifanya ametoka Singida hana hela ya gesti wala kula.
Mzigo unaambiwa ni wa mil 46 hivyo utapewa mzigo na yule dada baada ya kuupima wewe utampa pesa yule mtu wa kwanza hiyo laki 2 lakini mwisho wa siku yule sista Molio atakupa mzigo feki ambao atakuwa ameupaki kama ule waliokuonyesha mwanzo.
Mkiachana ukichungulia lazima ukute gololi za kwenye stealing ya pikipiki kwani zikiwa kwenye kasha la kiberiti zinakuwa nzito.
Hivyo kuweni makini wakazi wa Dodoma na namba za kuwatumia pesa wanazotumia nitazitoa muda si mrefu.