Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 877
- 1,472
Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii...
Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali ni kutii
Kama sio tatizo ni nini!? Mbona mambo mengi yanaepukika, tuache upumqavu/upu-uzi huo mara moja.
Hizi ni assumption/dhana ya kwamba kuna;
=>Deep State.
Kuna kila dalili maamuzi ya nchi yanatolewa na watu ambao hawapo katika utawala na pengine sio asili na raia wa nchi licha ya kuwa anaewasilisha maamuzi hayo ni kiongozi wa nchi ila sio hiari yake na hayana baraka zake.(Mateka wa deep state).
=>Uhandisi Jamii.
Kuna kila dalili wananchi kimkakati wameandaliwa kisaikolokjia(deep) kupitia madhaifu migogoro, na tofauti tulizokuanazo tokea uhuru.
Kwa wewe raia iyo fikra na hizo hasira ulizonazo juu ya utawala si bahati mbaya kuna wataalamu wametaka uwe na hali hiyo(wana jambo lao).
=>Survival Mode:
Wananchi wako katika hatari na hari ya taharuki, wasijue waegemee wapi na wamuamini nani na hakuna anaejali, hali kama hii hupelekea liwalo na liwe.
Assumption hizi zinaweza kuwa kweli ama sio kweli.
JE KAMA NI KWELI TUTARAJIE NINI!?
1.Hatari ya vitishio vya usalama kuikumba nchi kama vile;
2.Kuwa watumwa ndani ya nchi yetu, uchumi na fursa za kiuchumi ikiwemo rasilimali hatutakua na maamuzi nazo hata kunufaika nazo...uchumi utakua sawa lakini majority tutakuwa walala hoi na wafanyakazi katika makampuni kutoka nje.
3.Nchi kuendeshwa kijeshi na kiimla kama tunavyosikia huko Korea.
NA KAMA ASSUMPTION HIZI SI ZA KWELI.
Basi zoezi la uchaguzi lisimamishwe kamati ziundwe tujitathmini tuweke
tofauti zetu pembeni tukishakuwa sawa ndio tuendelee na zoezi maana mambo yamekuwa mabaya zaidi.
Ni decisive minute... Inawezekana. Tofauti na hapo nchi inakua ipo rehani maadui wanaweza kutumia nafasi hiyo kutuvuruga kama wanavyovuruga sehemu nyingine huko.

>Uhasi na makundi ya kigaidi kuibuka na yatapata nguvu na ushawishi kutoka kwa wananchi, kwasababu wananchi wataona wamepata mkombozi/mtetezi wao, hii nikutokana na ombwe lililopo nchini. Huenda tunatengenezewa machafuko baadhi ya kambi za jeshi zikaasi na kuanza kupambana na serikali (radicalisation)... Hatua sahihi zichukuliwe kwa wakati na mahali sahihi.
>Uhaini, kiwango cha uzalendo kwa watumishi kinashuka hasa vitengo nyeti kama jeshini, hivyo mtu anakosa validation(thamani yake umuhimu wake mahali pale) kwa kile anachokiamini juu ya taifa lake hivyo inakuwa rahisi kuhubiliwa na kuokokea katika dhehebu lingine.
>Machafuko na vita za wenyewe kwa wenyewe. Kwa hali hii ya kisiasa ilipofikia anaweza yakatokea mtu mwenye karama ya kuongea na ushawishi akatoa hoja tano tu! watu wanalipuka na kuingia balabalani... Itakua ni patashika nguo kuchanika.