Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,660
- 10,055
Kambi ya Simba imekumbwa na nini? Neo Maema ametoweka alfajiri ya leo.
Pesa ziko Benki.
Pesa ziko Benki.
Mbona unaharaka sanaMods: nimekosea heading ni Taharuki
Unamaanisha nini?Unakatwa nn? Mbona unaharaka mno.
Kazi ni kipimo cha utu
Vipi mkuuMmmhh!
HahahaaWatakwambi hiyo ni mbinu mpya ya kocha kuwachanganya wapinzani msijue kikosi kinapangwa vipi.
Vipi amepatikana?Kambi ya Simba imekumbwa na nini? Neo Maema ametoweka alfajiri ya leo.
Pesa ziko Benki.
BadoVipi amepatikana?
Na hawa nao wakatweBaadhi ya Mashabiki ni Wajinga wanamlalamikia Mangungu