Neo Maema (born 1 December 1995) is a South African professional soccer player who plays as an attacking midfielder for Tanzania Premier League side Simba SC .
Kwa mujibu wa Mwandishi Lorenz Köhler amesemea kuwa kiungo mshambuliaji Neo Maema anatarajiwa kurejea Simba SC kwa mkopo akitokea Mamelodi Sundowns kwa msimu wa 2026/27.
Simba SC na Mamelodi kukamilika, Klabu hizo zipo katika hatua ya mwisho ya mazungumzo kumruhusu Maema kurejea Simba SC...
Nahodha wa Bafana Bafana kwenye CHAN2024, Neo Maema amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Mamelodi Sundowns baada ya kuhudumu klabuni hapo kwa miaka minne na kuifungia magoli 13, akisaidia ‘assists’ mengine 14 kwenye mechi 120.
Maema 29, raia wa Afrika Kusini ambaye anatarajiwa kujiunga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.