Tafuta usahihi wa picha hii

Mhh Aisee!! Au ni duka picha katika ubora wake?!
 
Mi naona vichwa na mama yao tu..ngoja tusubir majibu
 
Ni kweli ni dukapicha [photoshop] maana sura ya mtoto ni moja
hahahahaaaa
 
Usahihi ni kua mtoto aliyebebwa mgongoni ni huyo wapili kutoka kwenye kisogo cha mama yake,utaona hata mikono ya huyo mama Imeelekea kwa huyo mtoto,hao wengine wameongezewa tu,yaani ni photo shop.
 
..Mtoto aliyezungushiwa kiduara ndiyo halisi.
 
Wa pili mkono wa kulia

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…