Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,012
inaitwa cast away. imetoka 2000. mastaa ni Tom Hanks na Helen Hunt. Hank alikuwa anafanya kazi Fedex. katika safari zake ndege yao ilianguka bahari ya pacific. Hanks peke yake alipona na mawimbi yakamsomba mpaka kwenye kakisiwa kadogo kasikokaliwa na mtu. aliishi hapo siku 1500. maisha aliyoishi hapo ndiyo kivutio kikubwa cha movie hii. ni masaa 2 na dakika 23. bajeti yake ilikuwa $90m na mauzo yake $429m!. ni bonge la picha