Kama ikiwa kila anyeshindwa CCM akija Chadema anapewa jimbo nadhani tunajishishia hadhi. Tafsiri yake ni kwamba tangu 2010 pamoja na kujitahidi kujenga chama hatujapata mtu wa maana zaidi ya reject wa CCM.
Tuliangalie sana hili kwani maudhui yake sio mazuri and sidhani kama hawa watu wanaweza kuwa na mapenzi na chama ipasavyo hasa ikitokea wakashindwa. Akishinda atajiona ni yeye na sio chama kama shibuda...
Tusiache mbachao kwa msalana upitao...
Ni wazo tu wakuu wangu.
Mandokwa