falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,287
TAFSIRI YA MOTO, MWENGE KWA
FREEMASON.
Baada ya raisi Kennedy kuuwawa mwaka 1969, Scottish Rite Freemasonry, walisimamisha mnara,‘obelisk’ Dealey Plaza na juu yake wakaweka ‘moto
wa kimasonia’ (mwenge). Lakini kama hilo halitoshi kwenye kaburi lake wamewasha moto ambao unawaka mpaka hivi leo, ‘eternal flame’.
Juu ya Pont de L’Alma, mahala ambapo Malkia Diana aliuwawa baada ya gari yake kugongezwa kwenye nguzo ya 13, Illuminanti wamesimamisha hapo ‘moto wa dhahabu wa kimasonia’, (mwenge).Mwenge huo umesimamishwa juu ya nyota yenye ncha tano.
Kwenye kaburi lake Diana nako wameweka mwenge.Kwenye eneo ambalo ilikuwepo minara miwili ya WTC, mara baada ya minara ile kwenda chini nako
waliweka mfano wa mwenge kama walivyoweka kwenye kaburi la Diana.
Kwenye New York Harbor utaona sanamu la Statue of Liberty, ambalo nalo limesimama na limeshikilia ‘mwenge’ au moto wa kimasonia.
Dhana ya kutumia ‘mwenge’ kwa freemason, ni kuwa mwanga unatoa nuru, yaani wao wanaitikadi juu ya nuru hiyo kuwa na elimu iliyo porwa kutoka kwa
waungu na kupewa binadamu wachache kutoka kwenye kiazi maalum.
Alama nyingine zinazotumiwa na Freemason ni Moto ambao kwa wao ina maana ya elimu mara nyingi sanamu la Libert lililoko New York linawakilisha alama hiyo, walipomua Kennedy na Malkia Diana wakaweka alama hiyo kwenye makaburi yao.
“ Lucifer, anaye beba nuru! Inashangaza na ni ajabu jina hili kupewa Roho ya Kiza! Lucifer, nyota ya alfajiri! Ni yeye ndiye abebaye nuru, na kwa miali yake mikali yenye kupenya, na kutia upofu macho
...”
Mwanamasonia katika hatua yake ya mwanzo,katika daraja la kwanza, anahimizwa ;kuitafuta nuru!’Mason wa kawaida ambaye yupo kwenye daraja la blue au aliye juu ya hapo lakini ni visible freemason, daima huwa anaitafuta nuru, na atatumia uhai wake kama mmasonia kuitafuta au kuifuata nuru.
Wale ambao hawafahamu watadhani nuru ni mafundisho matakatifu ya MUNGU MMOJA, lakini tumemsikia invisible freemason, na mwanamasonia
anaye abudiwa katika zama zote Albert Pike,akisema kuwa nuru ni Lucifer. Lakini pia Pike anasema mwanamasonia wa daraja la 18,anafundishwa kuwa Mungu ndiye mwenye kubeba nuru, lakini haambiwi kuwa Mungu ni nani mpaka atakapo fika kwenye daraja la 19, ndipo anapo ambiwa kuwa Lucifer ndiye anaye beba nuru.
Hivyo moto kama alama ambayo freemason huitumia na kuiweka katika maeneo na sehemu mbalimbali,na pia kuifanya kama nembo kwenye mashirika na makapuni pamoja na taasisi binfsi na zile za kiserikali, huwakilisha
'ELIMU MAALUM KWA WATU MAALUM, ELIMU AU MAARIFA AMBAYO MBEBA NURU ALIWALETEA KIZAZI TEULE KUTOKA KWA WAUNGU, MBEBA NURU HUYO SI MWINGINE BALI NI LUCIFER MWENYEWE.
At the rest sioni faida za mwenge