Tafsiri ya kukutana "kimwili"

Tafsiri ya kukutana "kimwili"

Tangazo la wadhamini.

Kwa wale wote wenye tabia za kutapika kwenye magari/mabasi mtambue kwamba mifuko ya plastic/ rambo imepigwa marufuku. Jaribuni kuji control.
Tutatapikia kwenye magazeti
 
kwa raha zenyu na ashiki pia... Je mtafikishana kileleni?


Kufikishana kileleni ni wajibu, sie wengine si vijana wa Dar eti mpaka tunywe supu ya pweza ama vumbi la Kongo....sie ni wanaume halisi wala korosho na wajibikaji kitandani.
 
Tafsiri yake ni kufanya ngono, wengine wanaita tendo la ndoa.

Sio kukutana kiroho ni kimwili, makutano ya kiroho ni huru na hayana mipaka.

Hisia za matamanio ya kingono hayakamiliki bila kukutana kimwili.Hizi hisia zingekuwa ndio halisi sijui ingekuwaje kuwa kila mtu anayekuvutia kingono ufanye naye kweli kuna watu wangejaza kumbi na kumbi kwa maelfu.

Bahati mbaya sana matamanio ya kingono kifikra hayawezi kukamilika bila kuhusisha miili. Lakini inapokutana miili haimaanishi kuna makutano ya kiroho. Kwa sehemu kubwa unakutana na mtu kimwili lakini hisia na mawazo yake haviko pale. Na si yeye pekee pengine hata wewe. Yeye anawaza kule wewe unawaza huku ni miili tu ndio inashughulika kwa wakati huo. Automation ya ajabu hii.

Dhana hii inathibitishwa na ukweli kwamba wengi hufanya makutano ya kimwili lakini hawapati munkari wa kufika KILELENI mpaka wamkumbuke mtu fulani ambaye hayuko kabisa hilo eneo. Ndio maana unaweza kukuta mmoja anashughulika kwa juhudi zote lakini mwingine yuko busy na simu ama na mambo mengine.

Ni tendo la kukutana kimwili sio kiroho.Ukifanikiwa kumpata wa kukutana naye kimwili na kiroho kwa wakati mmoja utajiona unaishi peponi ndani ya dunia iliyojaa uongo na usaliti.

Kipindi hiki cha mvua na hii hali ya hewa ya baridi inawahamisha wengi kukutana kimwili lakini sio kiroho. Wakutanao kiroho hawana mahangaiko kama yako usiku wa leo.

Dunia ya leo wakutanao kimwili ni wengi mno kuliko wakutanao kiroho.
Nikwel kabisa we acha tu RIP love
 
.
1.jpeg


Jr
 
Kipindi hiki cha mvua na hii hali ya hewa ya baridi inawahamisha wengi kukutana kimwili lakini sio kiroho. Wakutanao kiroho hawana mahangaiko kama yako usiku wa leo
 
Back
Top Bottom