Nitasahihishwa kama nitakua chaka..
Hua tunasema mwili ni kama kanisa na kanisani panajulikana kuwa ni sehemu ya ibada (ibada lazima ihusishe imani, hakuna ibada bila imani). Watu wanaokutana kanisani katika ibada wanakua ki2 kimoja either wakristo n.k
Endapo kanisa litatumika katika jambo lisilo la kiimani basi ile haitokuwa ibada.
Nafikiri kidogo nimemwelewa mleta mada, Tendo la ndoa kiimani ni kama ibada, kwamba watu wa2 ME na KE wanakua kitu kimoja/ mwili mmoja.. Tendo la ndoa uhusisha imani za mapenzi na hisia baina ya wafanyaji.. endapo tendo hilo litafanyika bila imani za mapenzi na hisia basi haliwezi kuitwa ibada maana litahusisha mwili tu na sio roho..
Mungu huchukizwa na matumizi mabaya ya miili yetu.
Yohana 2:16
Akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa: โOndoeni vitu hivi hapa! Acheni kuifanya nyumba ya Baba yangu kuwa nyumba ya biashara!โ