Tafsiri ya hii picha

Tafsiri ya hii picha

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
Kwa wataalamu wa kutafsiri picha, wanaweza kuona vizuri ni kitu gani kinachoendelea kwenye hii picha. Je! Wewe unaitafsiri vipi?
 

Attachments

  • 1414950535530.jpg
    1414950535530.jpg
    68 KB · Views: 1,339
Huyo ni dogo makonda au...? Ya sita amemtuma afanye fujo....?
 
Huyo jamaa aliyesimama kwenye kona akitizama hiyo sinema alikuwa mtu mzuri kutusimulia, AU hata huyu mama aliyenyosha mikono hapa nyuma ya Warioba.
But jambo ninaloliona hapo na kujiuliza kwa ninisura zote zinamtizama mtu 'mumoja' ambaye sura yake inatizama camera? (sijui ndo anakonda huyo) hapo ndo penye sheeeeda kwamba kuna kitu alifanyiwa c kizuri na huyo mutu.…!!
 
Hapo makonda alikuwa anajikinga kwenye mgongo wa warioba kwa sababu watu walikuwa wanaogopa kumgusa jaji kwa sababu makonda alimganda ili asipigwe ila kuna kuna jamaa alimdaka mkono akamtoa hapo na ndipo wenye hasira Kali walipomshushia kipigo cha mbwa mwitu jamani mpaka nikaogopa uwenda jamaa watamuua kwa sababu watu walikuwa na hasira Sana
 
HII HABARI YA MAkonda ina ukweli? najaribu kufuatilia sana lk sipati jibu
 
Kwa wataalamu wa kutafsiri picha, wanaweza kuona vizuri ni kitu gani kinachoendelea kwenye hii picha. Je! Wewe unaitafsiri vipi?

Binafsi ninaona watu watatu waliopo karibu kabisa na mzee warioba; mmoja kati yao amevaa uniform za walinzi huyu atakuwa mtu mwema.

Mwingine (katikati) anaonekana kumkinga Mzee Warioba, ukiangalia kwa makini hakuna ushirikiano kati huyu wa pili na yule watatu upande wa kulia (far right). Mkono wa kulia wa huyu mtu wa pili (white shirt long sleeves) aliyeko katikati na Mzee warioba unaonekana kutumika kumzuwia mtu wa upande wa kulia (far right) asimkaribie Mzee warioba.
 
c.c.m ndio watakaoingiza nchi hii ktk machafuko
 
Makonda anaonekana kumpiga Warioba...Warioba ni kama anapatwa na mshangao kwann kijana mdogo ampige....
 
sure! this is terrible....! cjui chama cha mafisadi kinapeleka wapi nchii hii...???
 
Hata Mwalimu Nyerere angekuwepo CCM wa leo wangempinga tu na wangefanya kama ya Jaji warioba na mengine walishayafanya wakati wa uhai wake..
 
Tutakunana kwenye KURA YA MAONI, -------- zao nchi mmeshaigeuza yenu hii kiasi kwamba wana uwezo wa kufanya lolote lile na popote pale.
 
Wadau naomba mnijuze: huyu Makonda aliswekwa ndani bado yuko huru. Ni vizuri wazalendo wakajua mahali alipo ili waangalie namna ya kumsaidia ili akili yake irudi. Mtuambie huyu mhuni yuko wapi!
 
Back
Top Bottom