Unataka nimjibu nini? Wewe usiye na kazi waweza mjibu mjinga mwenzio.
Kutwa kucha mshinda mitandaoni na viherehere kibao vya kupost ujinga... Mmeharibu hata maana ha great thinkera.
Maana halisi ya hapa kazi tu :mean business, serious about work.
here job two.
Kiswahili kina fasiri nyingi sana kabla hatujaingia kwenye Makabila yetuKuna aina mbili za translation,
aina ya kwanza ni direct translation or literary translation
HAPA -here
KAZI -work
TU -only
aina ya pili ni connotation meaning, hii ni translation alichomaanisha
aliposema "HAPA KAZI TU" alimaanisha kwangu mimi Magufuli hapa ni kazi tuu!, lakini baada ya kushinda, sio tena hapa kazi, bali "sasa kazi tuu"
"now its time to work only" hivyo tafsiri halisi ni
"Work Only","just work" or "do your job!"
Pasco
Habar zenu wanajamiii wenzangu
nimekwama nilikua naomba msaada kwa anayejua kingerza cha HAPA KAZI TU,,,
Unataka nimjibu nini? Wewe usiye na kazi waweza mjibu mjinga mwenzio.
Kutwa kucha mshinda mitandaoni na viherehere kibao vya kupost ujinga... Mmeharibu hata maana ha great thinkera.
Kiingereza chenywe hujui masikini wewe lakini kiherehere hakikuishia!!
Kazi yako kuiga tu, unangoja wenzio waseme ili udakie, acha dharau kwa mkuu wetu WA nchi, wenzio tumeshaweka pembeni tofauti zetu zamani sasa tunajipanga kujenga nchi yetu wewe umeng'angana na propaganda zisizo na maana.
Kama huna kazi sema tukuajiri huenda ujinga ukakutoka.
Kati ya wanaoharibu JF na wewe ni mmojawapo
Jina lako linatosha kukupuuza.