Wacha sindano iwaingie wapenda kuinamia beberuTatizo lipo kwenye utekelezaji hiyo ahadi,matendo yaonyesha mipango ya kuiba kura imekamilika kwa kupitia engua engua,Ma DED,WEO,VEO na Tume kiujumla.Matendo wanavyowatendea wapinzani vinadhihirisha kuwa uchaguzi huru ni kwa CCM ila wapinzani wananyimwa hata kusafiria vivuko vya umma,ambapo pia wameikosesha serikali mapato yake halali ya nauli/kodi ya abiria na magari yao halafu aliyeagiza hayo bado yupo ofisini ilhali ni mhujumu uchumi!CCM mshipa wa aibu ulipata electric shortage?
Rejea post number 41 ya uzi huu.Amani Msumari,
..wengine sie wagumu kuelewa.
..hebu tupe mifano michache kuhusu ubeberu.
..kwa mfano, unaweza kumtaja kiongozi wa nchi ya Afrika/dunia ya tatu, alivyoshirikiana na mabeberu[unataja nchi au kampuni], kuhujumu ktk mradi au rasilimali fulani.
Rejea post number 41 ya uzi huu.
Hata ulichoandika Mimi sijaelewa labda umetumia lugha ya kilumumba😂😂😂😂Hii ni lishaizungumzia umetumia silaha ya kujengea mtu hofu kumshambulia Mh Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Ila kwa JPM tumaneno hutu hatufui dafu. Mbinu hii mliitumia sana wakati wa Kikwete na mlifanikiwa na ilikuwa miradi yenye kuandikiwa andiko la kiutekelezaji ili kuondoa hofu ya rais asiye jiamini na mtegemea mngolitini.
JPM sio?Beberu hana nafasi mbele ya GPM. Tuungane tumsaidie kwani ni kazi ngumu kupambana na beberu.
Sijaona shida ya mwenyekiti wetu hapo labda ufafanueSawa Mboga Mboga ukimaliza pitia hapa kisha haraka sana mjitahidi kumtafutia matibabu mwenyekiti wenu.View attachment 1600980
Wapo wengi tuu akina marehemu Mobutu sesesseko kuku wazabanga, Bokassa, Gen San Abacha, Jonas Savimbi, Joseph Konyi n.kAmani Msumari,
..wengine sie wagumu kuelewa.
..hebu tupe mifano michache kuhusu ubeberu.
..kwa mfano, unaweza kumtaja kiongozi wa nchi ya Afrika/dunia ya tatu, alivyoshirikiana na mabeberu[unataja nchi au kampuni], kuhujumu ktk mradi au rasilimali fulani.
Nadhani amekuelewa vizuri tu. Kwamba wanapokupa misaada wanakua Wahisani. Haohao wakihoji kuhusu haki za binadamu, uhuru wa habari, kujieleza au demokrasia wanaùbadilika wanakua mabeberu. Lisu akiongea na mabalozi wanakua mabeberu. Bashiru akiongea nao sio mabeberu.Ni wazi kuwa umekurupuka au hujaelewa bandiko langu kwani usingejibu ulivyojibu. Soma kwa kutulia
Hiyo ni tafsiri yenuNadhani amekuelewa vizuri tu. Kwamba wanapokupa misaada wanakua Wahisani. Haohao wakihoji kuhusu haki za binadamu, uhuru wa habari, kujieleza au demokrasia wanaùbadilika wanakua mabeberu. Lisu akiongea na mabalozi wanakua mabeberu. Bashiru akiongea nao sio mabeberu.
Sawa Mboga Mboga ukimaliza pitia hapa kisha haraka sana mjitahidi kumtafutia matibabu mwenyekiti wenu.View attachment 1600980
😁😁😁 we jamaa unafurahisha sana, itakuw ulikuwa hupend history ukiwa shuleHao mabeberu mbona hamuwataji majina tukawajua?
Ukweli mtupu, wangekuja kwa adabu.Wangepatikana viongozi wa tano ivi hapa Tanzania wa aina ya Magufuli mbona hii vita dhidi ya ubeberu ingekuwa rahisi mno, wazangu wangeona rasilimali za Tanzania zinanuka