Hauwezi ukablock red sea kazi zisifanyike kisa tu dunia iogope ugaidi na itikadi zako

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Kama ilivyo mataifa ya middle east na mapepo yao ya vurugu na kutafuta haki bandia kwa njia vita na unyama, sasa pepo hilo limeamia kwa hawa houthis.

Watu wanashindwa kuelewa kuwa Houthis sio Yemen bali houthis ni houthis kama ilivyo magaidii wengine wa hezbollah na hamas.

Unafikiri dunia itakubali ujinga huo wa kuzuiliwa kupita red sea. Wao wanawaza kutafuta pesa ila hawa magaidi wa middleast wanachowaza ni kutafuta damu. Kwanza hicho kipande wanacho tishia watu wanashare na somali land.

Hamna nchi itakubali kupitia route ya cape of good hope kuelekea Europe na mataifa mengine ya kiarabu. Ni parefu na pia gharama zaidi. Kwa mfano kutoka Taiwan hadi uholanzi kupitia red sea wanatumia siku 26 ila wakisema wapitia cape of good hope waantumia almost siku 35.

Manotetea ujinga wa houthis, hivi mnajua balaa walilofanya, hamjui utapia mlo ulivyo ua watoto wengi sana, au kwa sababu sio Israel na USA??

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Sasa shida iko wapi wewe kama kidume pita red sea ukutane na wanaume wa kweli, wenzetu wanatumia tunu walizopewa vizuri.
Tunu gani... Wewe mwendawazimu au? Kulipua meli zisizohusiana na vita unaita ni kutumia TUNU.... sasa we huoni kwenye hizo meli kuna watu wana familia zao na ndugu zao.... Wewe unafurahia waarabu kuua watu wasiokuwa na hatia... Mkianza kurudishiwa mashambulizi mnasema mnaonewa....
 
Kwa Kuzuia Red Sea Isipitike Kwa Shughuli Za Kibinadam Endapo Unafuatilia Mgogoro Utaona Mataifa Makubwa Yenye Nguvu Za Uchumi, Kijeshi, Technology, Mbinu
Wamefanya Sahihi Kuwatimulia Makombora Hao Jamaa
Hapo Utaona Umuhimu Wa Haya Mataifa Na UN


Wapigwe Ili Eneo Lile Lipitike Bila Masharti Yoyote
 
Uzalendo kuonyeshwa imechukizwa ...Mshamba nn ?Yale makombora yanapelekwa israel then ukae unaruhus labda ujinga wa kijijini kwenu.

Kwani ni vichaa hao wazuie tu bila ya sababu....Dunia haiwezi kusimama na kutoa hukumu dhidi ya udhalimu basi wao wanaonyesha action.

Unafikria Chadema hao na siasa za uwiz ,hao watu wa kazi...Mambo yasiyokuhus kaaa utulize kibupa.!!
 
Hawajazuia meli yoyote kupita wao wanezuia meli za kuelekea Israeli basi. Sasa hapo tatizo liko wapi? Israel mwenyew anazuia chakula kwa wenzie mbona hukufungua uzi? Israeli kavunja miundo mbinu mbona ulikaa kimya na

houthi kasema hakilpiti kitu hata marekani walale yemen mpka Israeli atoke Gaza ndio hoja yao basi
Baada ya wiki mbili hakutakuwa na Houthi tena masta!Subiri uone mziki.
 
Back
Top Bottom