Hawa ma cartoonist ni wachochezi wasio itakia mema nchi yetu. Nchi yetu Uchumi wake unakua kwa kasi kuliko nchi nyingine yoyote ukanda wa maziwa makuu. Tumenunua ndege, tumetumbua majipu yote, tumeleta usafi day, Tumekuza Uhuru wa vyombo vya Habari na kujieleza, wananchi wanatoa maoni yao pasi na woga wala shaka, timekuza demokrasia, vyama pinzani wanafanya mikutano yao kwa Uhuru na uwazi bila kubughudhiwa, tumeleta gwaride LA kimyakimya, hospitali dawa kibao.
CCM oyeee.
[HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG]