Tafiti zangu zinaonyesha asilimia kubwa ya wanawake wenye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafiti zangu zinaonyesha asilimia kubwa ya wanawake wenye

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Oct 30, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  wenye mewata makubwa, huwa wamepigwa pasi, na wale wenye mewata madogo, wapo mashalaa. Sasa bado sijapata uwiano wake wa tafiti hii ni nini.

  Tafiti nyengine, Wanawake wengi ubadili kufuli mbeli ya watoto wao wa kike wenye umri kati ya miaka 3 mpaka 20 bila tatizotofauti kabisa na wanaume ambao awabadili kufuli mbele ya watoto wao wa kiume wa umri huo. Sasa sijui kuna maumbile yenye kutisha na yasio tisha. Bado naendelea na tafiti hii
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  duuuh hao wanawake wanaobadili nguo mbele za mabinti zao uliwaona wapi?
  mimi sijawai kuona
  au kuna mabinti wanaishi gheto na mama zao ?
   
 3. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Haya kaangalie tafsiri ya ndoto kule chit chat uniambie, nimefunuliwa tafsiri ya ndoto yako.
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,126
  Trophy Points: 280
  Sio kwli kuwa wenye mewata sio mashallah!!!!!!! Kuna figure namba 8, kama hapo kwenye avatar yangu, kote mashallah! Kitambi kushney babu j.
   
 5. L

  Lukeregwa Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We Mwongo, labda ukoo wako ndio unatabia hizo, maana katika kukua kwangu sijawahi ona hayo unayoyasema. Watanzania wengi tunajali utu ha heshima zetu haya unayosema ni tofauti na utamaduni wetu. Research nyingine bwana kazi sana sijui kama unaelewa maana ya research kwani nimesikia watu wengi jambo kidogo tu tena bila hata methodoloy(stratification, followup, au nyinginezo) anasema research. ukiwa hujui tuulize wasomi wa jf tutakueleza namna ya kufanya a Quality Research
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kazi ipo!! :confused2:
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  mh....kama kweli vile..............
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Mleta mada ana maanisha the majority!
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  badala ya kusema hajui research ulitakiwa kupinga hoja yake ki-research badala yake nawe umeishia kuwa poor researcher!!
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kweli aseee sikuwah kumwona maza akivua pichu mbele yangu, ila wanawake wakiwa kwenye age zinazorange sawa hufanya hivyo mfano shulen, vyuon,ghetto nk
   
 11. Johas

  Johas Senior Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu.. Kwamtoro,

  Malizia kwanza iyo research yako..

  then uje kamili kamili.
   
 12. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,297
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  Yaa,na ndo ukweli
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,468
  Likes Received: 3,739
  Trophy Points: 280
  kuvaa vyupi mbele ya watoto hapana
   
 14. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uzushi .com
   
 15. MPEPE

  MPEPE Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kwenye mewata hapo research yako imepita kwa 100% unaweza endelea na tafiti zngne
   
 16. charger

  charger JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,327
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Weka picha please!
   
 17. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nasubiri research report..!
   
Loading...