Tafiti: Wanaopiga selfie wana matatizo ya upweke!

Tafiti: Wanaopiga selfie wana matatizo ya upweke!

Duh Wana matatizo? labda
Ila nadhani wangefanya utafiti kuhusu hawa wanatumia Instagram Tanzania, sijui wana matatizo gani, maana niejaribu kutumia Instagram nimeshindwa mara nyingi
Nasikitika IQ yangu hainifanyi nipende kutumia Instagram
hata mm kumbe tuko wengi
 
1477511423099.jpg
 
Dunia imebadilika sana. Hizo Instagram, Facebook ama Snapchat ndizo namna za siku hizi za kuinteract.
 
Duh Wana matatizo? labda
Ila nadhani wangefanya utafiti kuhusu hawa wanatumia Instagram Tanzania, sijui wana matatizo gani, maana niejaribu kutumia Instagram nimeshindwa mara nyingi
Nasikitika IQ yangu hainifanyi nipende kutumia Instagram
Imekuwa ni vita ya kushindana kupata likes nyingi huko hakuna jambo lolote la msingi. Imefika mahali vijana wanaona kupata likes nyingi or rather kuwa na followers wengi ni big deal, hili linanifanya nizidi kuamini we still do have a very long way to go.
 
Tatizo mno, wanajadili upuuzi na kujadili maisha maisha private ya watu na matusi
 
Instagram iko fine tu wanaoichukia wanafanya hivyo kwa matatizo yao tu. Mimi binafsi ninayo account na ninatumia kwa manufaa makubwa. Instagram sasa hivi inatumiwa na wanaharakati kuhamasisha mabadiliko. Marafiki zangu wanatumia Instagram ku-raise chapaa kwaajili ya kujenga hospital ya kina mama na wasichana walioathirika na vita Congo. Kutumia instagram ni vile wewe unataka iwe. Ukiwa mjinga utafuata ujinga ukiwa smart utajua nini kinaumuhimu kwako na community yako.
Pia nimegundua Instagram watakuletea posts zile ambazo unapendelea. Kama wewe unaenda kushangaa wanawake wanaokaa uchi basi ufahamu utaletewa posts za namna hiyo. Jaribu kuwa smart......hakuna haja kulalamika chagua unachopenda mengine waachie wengine....thats all.
 
Back
Top Bottom