Stralis
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 618
- 613
Unapoteza muda na mtu asiyejua chochote mkuu..
Wacha rwandese waje kuchukua kaz ila tu wasitunyime kaz za kwenda rwanda mana kwa mwez unaeza enda mara 3 kuliko zambia kongo mara2 au mara 1.
Unapoteza muda na mtu asiyejua chochote mkuu..
Kazi lazima zitaachwa kwa wazawa.. Wao watafatilia utoaji wa mizigo yao tuWacha rwandese waje kuchukua kaz ila tu wasitunyime kaz za kwenda rwanda mana kwa mwez unaeza enda mara 3 kuliko zambia kongo mara2 au mara 1.
Kazi lazima zitaachwa kwa wazawa.. Wao watafatilia utoaji wa mizigo yao tu
Walianza kwa kufanyia assessment kwao huku wanakuja na release wanaona haitoshi,wakaweka utofauti kwenye cargo transportation bado hawakutosheka sasa wanataka waje kufungua office zao hukuhuku!? Hii sasa inareflect kile kisa cha tembo na ifadhi ya mvuaWakati sakata la kupungua kwa uingizwaji wa mizigo katika bandari ya Dar es Salaam likiendelea kutikisa,Chama cha Mawakala wa forodha Tanzania (Taffa) kimepinga ombi la mawakala wa forodha kutoka Rwanda kutaka kuja kufanya kazi Tanzania.
Rais wa Taffa Stephen Ngatunga alieleza kuwa endapo serikali itawaruhusu mawakala hao kuingia nchini itakuwa imeua ajira za wazawa.
"Maombi hayo ni kinyume kabisa na utendaji kazi wa jumuiya ya Afrika Mashariki endapo watakuja huku kushughulikia mizigo yao sisi tutafanya kazi gani" alisema Ngatunga...
Chanzo: Mwananchi
Wabongo utawaweza.. Kila kitu siasa tu wao na chuki zilizojiviriga mioyoni mwao.. Mtu kaja na kelele kibao hapa kumbe hata uzoefu kwenye hii sekta hana na wala hajui lolote..Sasa ndio hata Mofed au Malawi cargo kaachia wazawa wasafirishe sasa ndo pale kusema waswahil kudandia tren kwa mbele kujfanya wanajua kumbe chenga ile n kufacilitate utoaji wa cargo pale port ni hayo tu (On the way to likasi south of DR-congo)
kivip tenaSi ndugu zake na mkulu hawa!!
Aise kweli,mie hapa sioni tatizo kwani hawa mawakala wanashughulikia mizigo ya rwanda, kama mzigo unaenda Rwanda wanalipia ushuru wa Rwanda hapahapa hivyo tutapata retention income, hizi fedha kabla ya kuhamishwa kwenda rwanda mabank yatazitumia pia, pia itasaidia kuondoa tatizo la ukwepaji kodi. Mfano tunakubaliana kuwa ushuru wote wa rwanda utalipiwa CRDB na CRDB nao wakafungua tawi Kigali kwahiyo mtu ataamua kulipia Dar au kulipia Kigali, automatically hawa wezi wa power window watakuwa wamefutika.Tumekalia akilii..
Huku tunapiga vigelegele..
Hahahaa..
ted, hawazungumzii yard ya wamalawi wala ya wazambia wanaona za wanyarwanda tu.Lack of Info ndio tatzo la wabongo na Ujuaji Hiv Wale MOFED(kampuni ya Utoaji mizigo iliochini ya wizara ya mambo ya Nje ya Zambia) au Malawi Cargo(Ndio ICD kubwa ukiacha TRH na ndio ICD inayo operate mpka sasa na kugawa mizigo kwa wengine kama PMM icd na Lake Oil AFICD pia malawi cargo ukiacha kurasin wana ICD mbeya Tazara kwa waliopita pale iyunga au Tanzam road ile kwenda Zambia) Zile Kampuni mnajua ni za watanzania au..??????? Hapa tushavamiwa toka long time ila mlkua hamjui TU.
Protakali ya jumuiya ya Afrika mashariki inaruhusu raia wa jumuiya kufanya kazi popote Afrika mashariki japo Tanzania bado inasuasua kwa hili. Kenya Rwanda wamefuta kabisa ada ya kibali cha kufanya kazi kwa raia wa EA.Mbona kuna Wakenya,Waganda,Wahindi wengi tu kwenye mabenki na kazi nyingine? Nchi hii ina mambo hadi Wanyarwanda wanataka kuja kutoa mizigo yao! Au ndio masharti ya kupitisha mizigo yao kwetu?
A cowardly Weak leadership...,Mbona kuna Wakenya,Waganda,Wahindi wengi tu kwenye mabenki na kazi nyingine? Nchi hii ina mambo hadi Wanyarwanda wanataka kuja kutoa mizigo yao! Au ndio masharti ya kupitisha mizigo yao kwetu?
Umeiona jinsi jk alivyokuwa clever eeh mkuu,pamoja na mapungufu yake,hakika hakuna aliye mkamilifu,ila hayoo yote yanayo happened now ni akili ama wazo la mtu mmoja tu,sio la watanzania kabisa,tuko mbali mnoo kulikoni hao Rwanda...Kagame ana akili sana,
Anaishi na kufanya maendeleo kupitia rasilimali za nje nyingine
A weak leadership Mkuu trust me,jk alikuwa na confidence za ajabu yaani despites errors zake...kwa Tanzania hilo linawezekana si tumekalia akili...
Jk jembeAhhaahha.....kagame buana...nilikuwa najiuliza mbona alikuwa bifu na jk...
Sasa aliona mtelemko fulan...akisifia tu...anapewa hata kiwanja ajenge..
Huyuu Mkuu wetu anatuangusha mnoo yaani,badala ya ku romances watu wakewatu wanavyoandika kwa uchungu na hisia chaajabu wenye dhamana wamerelax tena usishangae humu kuna watu watapelekwa kwa hakimu mkazi.