NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Sijui wengine mku lakini mimi sipendi ku judge maisha yangu based on watoto yes watam miss Dad wao lakini sio excuse yakunifanya nisuguliwe roho na mume labda iwe kuna malengo nayasubiri in a year max kama kosa sio kubwaHata wengine tulijiapiza hivyo acha mama hiyo haiwork. Kama mna watoto unaangalia future ya watoto na unacool down. Ila kuhakiki ni mtindo mmoja
Wait a minute my dear!!!! Wewe unaangalia katika angle ya uchumi, la hasha! Malezi ya watoto ni zaidi ya fedha. I can tell you kuna umri ambao mtoto anahitaji ustawi wa mahusiano kati ya mama na baba hata kama hawalali chini ya paa moja. Mahusiano ya ngono kati ya baba na mama kwa mtoto hiyo siyo issue ila kuona baba anazungumza na mama in a harmony way inasaidia katika kumjenga mtoto. Wajuzi wa mambo wanaeleza kuwa ukitaka mtoto akuchukie, mseme vibaya mwenzi wako mbele yake. Mfano kama baba anampiga mama, jua watoto watamchukia baba maishani. Mama hasa nyie wa dot com ukijifanya unamdharau mme wako au uliyezaa naye, hiyo ni warrant ya kukuchukia siku za mbeleni. Ni haki nasema ni haki narudia ni haki ya mtoto kuishi na wazazi wote kama walikuwa katika ndoa kwa kuwa nyie ndo mlimleta hapa duniani kwa raha zenu. Dada yangu ni vyema kuhakikisha unatimiza majukumu yako. Kama ukitafakari hivyo, na mwenzako akaamua kumsingizia shetani inabidi umpe strong warning muishi wote kwa faida ya watoto. Vile vile zimwi likujuavyo halikuli likakumaliza, ni bora mchepukaji atakayejirekebisha kuliko kuanzanzisha kaya mpya. Mwisho nisikuchoshe hakuna MWANAUME anayepena kulea mtoto asiyetoka katika sperm yake. Akikueleza vile jua ni uhanga unamsumbua yeye anafukuzia k yako akojoe tu. Hivyo kuachika nako shida ya 'single moms' na mama wa kambo hawezi kumlea mtoto. CC housegirl na smartphoneSijui wengine mku lakini mimi sipendi ku judge maisha yangu based on watoto yes watam miss Dad wao lakini sio excuse yakunifanya nisuguliwe roho na mume labda iwe kuna malengo nayasubiri in a year max kama kosa sio kubwa
lakini mfano nikute na mwanamke mwengine halafu nisme nakaa ETI sababu watoto apana kwanza ajue kua watoto wangu
nalea mwenyewe na sitegemei hata majivu kutoka kwake,as a father anaweza kuwaletea watoto wake lakini asitegeme ntampigia au tupelekane police kwa ajili ya pesa...
Kama hujisikii kuzungumza si unaika na kutuma sms automatically kuwa upo meeting etc si kuiacha inapiga hadi ikatikeHujisikii kuzungumzaa
Nadhani hapa kuna kitu ambacho nadhani nakikimbia ua sikiangalii kwa jicho jengine labda lakini kwa upande wangu mimiWait a minute my dear!!!! Wewe unaangalia katika angle ya uchumi, la hasha! Malezi ya watoto ni zaidi ya fedha. I can tell you kuna umri ambao mtoto anahitaji ustawi wa mahusiano kati ya mama na baba hata kama hawalali chini ya paa moja. Mahusiano ya ngono kati ya baba na mama kwa mtoto hiyo siyo issue ila kuona baba anazungumza na mama in a harmony way inasaidia katika kumjenga mtoto. Wajuzi wa mambo wanaeleza kuwa ukitaka mtoto akuchukie, mseme vibaya mwenzi wako mbele yake. Mfano kama baba anampiga mama, jua watoto watamchukia baba maishani. Mama hasa nyie wa dot com ukijifanya unamdharau mme wako au uliyezaa naye, hiyo ni warrant ya kukuchukia siku za mbeleni. Ni haki nasema ni haki narudia ni haki ya mtoto kuishi na wazazi wote kama walikuwa katika ndoa kwa kuwa nyie ndo mlimleta hapa duniani kwa raha zenu. Dada yangu ni vyema kuhakikisha unatimiza majukumu yako. Kama ukitafakari hivyo, na mwenzako akaamua kumsingizia shetani inabidi umpe strong warning muishi wote kwa faida ya watoto. Vile vile zimwi likujuavyo halikuli likakumaliza, ni bora mchepukaji atakayejirekebisha kuliko kuanzanzisha kaya mpya. Mwisho nisikuchoshe hakuna MWANAUME anayepena kulea mtoto asiyetoka katika sperm yake. Akikueleza vile jua ni uhanga unamsumbua yeye anafukuzia k yako akojoe tu. Hivyo kuachika nako shida ya 'single moms' na mama wa kambo hawezi kumlea mtoto. CC housegirl na smartphone
Bado unaongea kwa sentiments. Hayo uliyoyasema katika akili ya mtoto ni irrelevant. Ngoja nikueleze ingawa utaona si sahihi kwa vile inategemea experience ulo nayo.Nadhani hapa kuna kitu ambacho nadhani nakikimbia ua sikiangalii kwa jicho jengine labda lakini kwa upande wangu mimi
Niseme ndio nnae lea watoto baba yuko kama jina nikisema hivyo nnamaana kuhusu mambo ya shule ni mimi,homework mimi,kuna tatizo lolote la mtoto mimi nakua mbele sasa hapo palipobakia nishindwaje kumalizia? au tuseme kwa mfano
mume hana time yeye baada ya kutoa hela au kukupa card ya ATM mengine mke ndio ana manage wewe panga kama kuna kilicho pungua let me know huyo mtu unasema najuta au unasema hata akikufikicha roho bado still unaka kwaajili ya watoto
ambao hata time nao hana yani ni Dad yule wa hi mtoto hujambo? tell me wapi unataka kwenda this Holiday? mie simuiti huyo mtu Dad wawatoto au sijui nilivyolelewa mie,as mu Dad alikua anakuja kuangalia my books,tunakwenda kununua vitabu pamoja anakuja school kujua maendeleo yangu,akiwa home atapika chakula while mom ana tufundisha,au hata si=ometime anasema niachieni jiko nipike,huyo namuona ni Dad lakini hawa wanaume wa DOT COM mmmm haya tuombe salama tuu..
hakuna binadamu anayeweza kuwa na hamu na kuendelea kusex baada ya kufumwa.umedanganya mazuzu sio mimi.
Kama hujisikii kuzungumza si unaika na kutuma sms automatically kuwa upo meeting etc si kuiacha inapiga hadi ikatike