Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Neno la Mungu linasema.. Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80....! Baada ya hapo utaishi miaka ya bonus au ya ubatili!
Job Ndugai katwaliwa kutoka maisha haya! Bila kuteseka sana na bila maumivu.. Kufumba na kufumbua mtu kanyamaza
Ni mojawapo ya vifo bora kabisa! Ambavyo wengi wetu wangetamani kufa
Kuna videos zinazunguka mitandaoni zikidai ni shangwe ya wananchi kufurahia kifo chake! Sina ithibati juu ya uhalisia wake lakini kwa kawaida watu huumizwa na kifo na si kufurahia
Ikumbukwe ya kwamba marehemu Job Ndugai ndiye mgonjwa ghali zaidi duniani anayeshikia rekodi ya Guiness book of records kwa kutumia takribani shilingi BILIONI 26 na ushee kutibiwa nchini India
Hizi hazikuwa pesa zake binafsi bali aligharimiwa na serikali ya Tanganyika
Kwenye maisha ya uhai na kifo kuna vifo vya hiari na kuna vifo vya lazima! Kila roho inayoacha mwili hupitia mojawapo kati ya hivyo na ndio maana watu husema hakuna kifo kinachokosa sababu!
Marehemu Job Ndugai ni baba wa familia, akiwa pia na ndugu jamaa na marafiki! Hawa watakuwa wameumizwa sana na kifo cha mpendwa wao lakini wataumia zaidi kuona furaha ya wengine juu ya kifo chake hiki!
Furaha ama huzuni juu ya kifo cha mtu huwa na viasili vingi... Wakati Job Ndugai akitibiwa kwa bilion 26 na ushee
Kuna mamia walikufa kwa kukosa elfu 10 moja ya dawa ama matibabu
Kuna vitu viwili huwa havinajisiwi.. Ardhi na uhai.. Hizi ni tunu mbili pekee takatifu alizopewa mwanadamu na mola wake
Ukizilinda, kuziheshimu na kuzitunza, unajiandalia mwisho mwema wewe na familia yako hapa duniani na hata milele!
Wengi wameangamia kimwili na kiroho kwa kuziseta, kuzifharau, kuzidhihaki na kuzitendea vibaya hizi tunu mbili takatifu mbele za macho ya Mungu wetu
Kuna wakati wafao huwa hata na habari kuwa wamekufa hasa wale ambao huishi kimwili zaidi ya kiroho! Shida hubakia kwa walio hai
Kifo cha Job Ndugai kinatupa tafakuri muhimu juu ya uumbaji.. Maisha yetu duniani.. Heshima na thamani kwa wengine bila kujali udogo ama ukubwa wao
Tafakuri juu ya chama chake na maisha yake kisiasa na wale wore aliowatendea vibaya kwa sababu tu ya madaraka!
Wengi kati yao wako hai wakiwa sehemu ya furaha ama wakikiangalia kifo chake kwa tafakuri kuu
Yote juu ya yote hakuna mkamilifu chini ya jua.. Lakini daima usishindwe na ubaya! Bali ushinde ubaya kwa mema!
Pumzika Job Ndugai ama iishi karma yako katika uhai wako mpya nje ya mwili uharibikao!
Wakati si milele❗
(6,794) Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12 | JamiiForums Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12