Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,940
- 831,459
Tujadili kama hoja isiyoegemea upande wowote... Kwakuwa kuna mengi yameachwa bila kujadiliwa...kwa pande zote mbili kuhusiana na tarehe 26/4
Ni kama vile kumepoa kidogo baada ya misuli kutunishwa kila upande lakini viona mbali wakatoa angalizo kuwa kuzidi kujadili hili jambo ni kulipa kiki na kulitangaza zaidi... Kwa mara ya kwanza naona wazi ushauri wa mitandaoni ukizingatiwa....
Ukweli ni kwamba kuna maandalizi na harakati za kimya kimya vinaendelea kila upande.... Mitandao yote ya kijamii inamulikwa kwa karibu mno... Mijadala, maoni, midahalo na malumbano kwa uchache na uwingi wake vinafuatiliwa kwa karibu kabisa.....
Way forward....
Mwanzilishi wa hii kitu yuko very determined... Kaweka ishu zote kando... Na anasema wazi kuwa ni maandamano yasiyo na ukomo... Mpaka kieleweke... Kuna uungwaji mkono wa aina yake usio wa moja kwa moja toka vyama vya kijamii na taasisi mbalimbali.... Lakini ukomo wa wote hawa unaishia kwenye tarehe 26... Sijaona popote penye plan B... Kwamba je ikishindikana!? Au matokeo yakiwa hasi... What next!? Lakini je ni nani atakuwa dereva!? Kwakuwa hata autopilot inahitaji mtu wa kubonyeza kitufe....
Ukimya wa upande wa pili nao umejipanga na pengine unaendelea kujipanga kivyake... Na hawana hakika pia kama hili litafanyika na likifanyika ni kwa muda gani!? Na impact yake itakuwaje....! Na je linaweza kufanikiwa..!???
Sakata la Diamond na viongozi wa CHADEMA ni aina fulani ya kupima upepo na kutoa nafasi mengine yafanyike.... Lakini amini amini nawaambia... Hilo jambo likipita salama bila impact yoyote kubwa tarajieni kibano heavy.. Toka mitandao ya kijamii, vyama vya kijamii, taasisi mbalimbali zikiwemo za kidini,, vyombo vya habari na watu binafsi ambao kwa njia moja au nyingine walionekana kuunga mkono
Lakini pia kama mamlaka zikiwa ma weledi wa kutosha na kukubali kushaurika zinaweza kufanya win win situation.. Zikayafanyia kazi mambo yanayolalamikiwa sana... Kuanzia uhuru wa kujieleza usalama wa raia katiba mpya... Ukomo wa madaraka nknk.... Kuanza kamatakamata mpya kutachokoa ari ya kutaka tena kufanya jambo......
Bado tunao muda wa kufanya chochote kwa manufaa ya jamii yetu na taifa katika ujumla wake

.. heshima yenu