englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wanadamu hatuna uwezo wa kujua lolote linaloweza kutokea hata ndani ya sekunde moja iliyo mbele yetu.
Ajuaye ni Mungu tu, mengine yote ni utabiri batili.
Pamoja na hayo yote uliyosema, hiyo timu inaitwa The Dirty Trio![]()