nauona ushuzi, wamekapulizaaaa!!
cheki tena mkuu, kulikuwa na tatizo la kiufundi
Wametua kero zote za majumbani kwao na wamepumzika raha mstarehe, aliyewachagua atajiju, wakikurupuka wanaomba mwongozo kwa Ndugaiinaonekana mkuu. Kweli jamaa hawa kiboko. Yaani tamu usingizi wanaopata mjengoni inazidi wanayopata majumbani kwao.