TAFAKURI KIPANYA ANAVYOSEMA....................

Nadhani atakua Job Ndugai huyo. Naibu spika aliposema Honey usintingishe akimaanisha asirudi bungeni wakati huu yeye akiwa kwenye mapambano na wapinzani.
Mhh, JN ndo honey!? We acha hizo
 
Mhh, JN ndo honey!? We acha hizo
Mkuu kumwita honey sio kamaanisha kuwa mpenzi. Neno honey linaweza kutumika kama mtu unataka akupe tension kwa unachotaka kusema. hata bibi au rafiki wa kike anaweza kukuita honey
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…