Nadhani Bush Stars ndio hawamoChawa wana hasira majina yao hayapo kwenye mkeka wa jana 😂
Itakuwa ndiyo sababu beberu ghafla kaona awaonye raia wake.Kiufupi Tundu Lisu ameshazibadili siasa za bongo
... Bon Town wako wangapi chombo kikiongozwa na Lodi Lofa vs kile cha Comrade Kipepe! Umekumbusha mbali sana ewe mhenga!Nadhani Bush Stars ndio hawamo
Tulimiss wajuaji kama Lisu kwenye siasa zetu. Angalizo ni kwamba siasa sio uadui, kama Kuna wa kupambana nae ,apambane Kwa hoja, isiwe tena mambo ya Ra ta ta ta ta! mara Nairobi kisha ughaibuni.
Halafu unabatizwa mkimbizi na msalitiTulimiss wajuaji kama Lisu kwenye siasa zetu. Angalizo ni kwamba siasa sio uadui, kama Kuna wa kupambana nae ,apambane Kwa hoja, isiwe tena mambo ya Ra ta ta ta ta! mara Nairobi kisha ughaibuni.
Hawa Sukuma Gang siyo? Tuliwaambia adui yao siyo Chadema bali Msoga Gang wao hawaelewiNadhani Bush Stars ndio hawamo
Wanajibu hoja kwa kuuliza mbona Lissu alimuulizia Mbowe pale uwanja wa ndege na Mbowe hakuwepo?
Mwishowe wanamalizia kujibu hoja za Lissu kwa kusema, Chadema kuna mgogoro, kwao bora wajiliwaze tu!.
Hawa Sukuma Gang siyo? Tuliwaambia adui yao siyo Chadema bali Msoga Gang wao hawaelewi
Huyo hatakiwi kujibiwa,atoswe,akijibiwa itakuwa ligi ya kijingaHotuba ya kwanza ya Lissu ilikuwa jana. Basi kama ilivyo kwa makombora tulitegemea majibu thabiti kutokea ule upande mwingine.
"Kinyume chake kumepiga kimyaaaa!"
Kwa kimya kingi hiki ni wazi kuwa:
1. Mama hana uungwaji wowote mkono kwenye huku alikotufikisha na hali hii ya maisha, ikiwamo bei za vyakula ambazo sasa ni za juu mno.
2. Mama hana uungwaji mkono wowote kuhusiana na wingi wa tozo na kodi kwa watu.
3. Mama hana uungwaji mkono wowote kwenye matumizi na utumbuaji wa kufuru unaofanywa na walioko madarakani, almaarufu walamba asali.
4. Mama hana uungwaji mkono kwenye lolote jipya kwamba kuna tumaini la kuirekebisha hali iliyopo.
Izingatiwe Mh. Lissu kawasemea watanzania wa daraja zote (bila kuwasahau chawa wa Mama), labda isipokuwa wale wanaolamba asali. Ambapo ni wazi kuwa sote ni wahanga tu.
Mh. Lissu ameonyesha katiba mbovu tuliyo nayo ndiyo inayotoa mianya iliyotudidimizia huku kusikofaa.
Habari hIzi zimfikie Mama Samia kokote aliko: "tunataka kutoka huku."
Tunataka katiba mpya sasa.
Kama nakuona hapo mkuu:Huyo hatakiwi kujibiwa,atoswe,akijibiwa itakuwa ligi ya kijinga
Mwana umerudi?Huyo hatakiwi kujibiwa,atoswe,akijibiwa itakuwa ligi ya kijinga