Tafakuri baada ya habari

Duduvwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
4,697
Reaction score
4,914
Wakuu namsikiliza hapa huyu bwana anasisitiza wasanii wasiimbe mapenzi bali mafanikio tunayoyapata kama Nchi sasa swali langu ni je anatambua maana halisi ya burudani ya mziki na kauli ya mziki ni biashara?

Na ningependa kumfahamu huyu bwana ambae hua analeta hii tafakuri ni nani tumtambue kwa sura naomba kuwasilisha
 
Si uondoke. Ukweni tu ndio huwezi kumlazimisha baba mkwe kuangalia channel unayotaka wewe.
 
Yani jamaa anaongea kama roboti sauti flani mbayaa napenda nimuone kwa sura huyu Jamaa mwenye picha yake tafadhali
Halafu huyo mtoa tafakuri akumbuke chama kina bendi yake ya TOT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…