Khaa!!! Mruko mmoja tu wa chopa gharama zake zingeweza kuondoa hilo tatizo. Wote nyie ni wamoja tu. Tena bora hawa wanakula kistaabu kuliko nyie. Mfano rahisi ni mgao wa mwezi karibu wote mnautumbulia kinondoni. Hatudanganyiki