carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,577 Reaction score 285,648 Jun 21, 2016 #2 aanze kujikamata yeye kwanza
D Descartes JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,765 Reaction score 1,664 Jun 21, 2016 #3 Vyeo hulevya. Inafanana na hii: Jan 2016 "Vijana mjiajiri msitegemee kuajiriwa"-Dr Rajab Rutengwe March 2016 ''Sina pa kushika wala kukamata masikini mimi ,nimekosa mimi,nimekosa mimi,nimekosa sana nisamehe JPM unikumbuke katika ufalme wako''-Dr Rajab Rutengwe
Vyeo hulevya. Inafanana na hii: Jan 2016 "Vijana mjiajiri msitegemee kuajiriwa"-Dr Rajab Rutengwe March 2016 ''Sina pa kushika wala kukamata masikini mimi ,nimekosa mimi,nimekosa mimi,nimekosa sana nisamehe JPM unikumbuke katika ufalme wako''-Dr Rajab Rutengwe
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,791 Reaction score 15,019 Jun 21, 2016 #4 hahaaaaa...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,145 Jun 21, 2016 #5 carbamazepine said: aanze kujikamata yeye kwanza Click to expand... anataka kuhakikisha kama kweli kuna madhara kupanda pikipiki bila kofia ngumu, sijui alifika salama ua la..
carbamazepine said: aanze kujikamata yeye kwanza Click to expand... anataka kuhakikisha kama kweli kuna madhara kupanda pikipiki bila kofia ngumu, sijui alifika salama ua la..
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,021 Reaction score 2,655 Jun 21, 2016 #6 Ndiyo watu wakipanda bodaboda bila helmet lazima wakamatwe ila 'ntu' akifanya hivyo asikamatwe. Nahisi yeye ni ntu hivyo hawezi kukamatwa.
Ndiyo watu wakipanda bodaboda bila helmet lazima wakamatwe ila 'ntu' akifanya hivyo asikamatwe. Nahisi yeye ni ntu hivyo hawezi kukamatwa.