Mtu akiapply kwenye lolote maana yake amesoma zaidi ya ulivyoandikaUsisome zaidi ya nilivyoandika; unaweza kuapply kwenye lolote vile.
Ushamba tu unakusumbuwa Mwanakijiji ni Member wa JF akitaka kushare chochote na sisi anaanzisha mwenyewe thread.Kama anakilenga chama cha democracy and development hiviiiiii...!!!!!!
Tuliza akili, msome kwa makini. Mara nyingi huyu Mkuu hutumia falsafa ya hali ya juu, wakati mwingine kumwelewa yahitaji kazi ya ziada!!
Ni kweli uyu kwa wale ambao sio wavivu wa kusoma tunamfaamu uwezo na falsafa zake. Ila huwa najiuliza inakuaje aina ya watu kama MMK ana uwezo wa kuifanyia analysis na akatoa ushauri mzuri tuu lakini mpe hata kata ama taasisi ya watu kumi kama ataweza kuiongoza, nliwahi soma sehemu Ngugi wa Thiong'o hata familia yake ilimshinda kuongoza, pia profile ya Karl Marx inaonesha pamoja na kuwa father of communism yet he did nothing to his family, walikufa kwa njaa.. Yupo Dr Lweitama UDSM anajua sana kufanya analysis na kukosoa sana serikali lakini nakumbuka alikua hawezi kuorganize wanafunzi wakati wa seminar udsm hata modules ilikua ni tatizo.. Au ndio tuamini msemo wa waswahili.. Mungu hakupi vyote?
Ni kweli uyu kwa wale ambao sio wavivu wa kusoma tunamfaamu uwezo na falsafa zake. Ila huwa najiuliza inakuaje aina ya watu kama MMK ana uwezo wa kuifanyia analysis taasisi mf. Vyama vya siasa na akatoa ushauri mzuri tuu lakini mpe hata kata ama taasisi ya watu kumi kama ataweza kuiongoza, nliwahi soma sehemu Ngugi wa Thiong'o hata familia yake ilimshinda kuongoza, pia profile ya Karl Marx inaonesha pamoja na kuwa father of communism yet he did nothing to his family, walikufa kwa njaa.. Yupo Dr Lweitama UDSM anajua sana kufanya analysis na kukosoa sana serikali lakini nakumbuka alikua hawezi kuorganize wanafunzi wakati wa seminar udsm hata modules ilikua ni tatizo.. Au ndio tuamini msemo wa waswahili.. Mungu hakupi vyote?
Hah hah hah hah hah! Nakuonea huruma Willy na rafiki yako Zitto! Amevuna alichopanda na kwa ccm ambayo imekuwa ikimpa sapoti wote mmeumia! Huu ujumbe uliotuwekea hapa ni kipimo cha maumivu mliyoyapata!
Hapana, ni katabia ka walio nje ya uwanja mkuu, Mungu katuka kila kitu.
Hapa mnamtambulisha Mwanakijiji kama mmoja ya watu wanafiki waliopata kutokea kwenye taifa letu, Mbona wakati CCM inashinikizwa kuwafukuza akina Lowasa,Rostamu,Chenge & Co haiukuonekana kwamba inashinikizwa kufanya mambo yanayopaswa kufanywa na walioshindwa kwa hoja.Zitto Kabwe
Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari- MwanaKijiji
Source: Facebook
Like · · Share · 13 minutes ago via mobile ·