L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,169 Jun 3, 2022 #1 Sina mengi Ila chati hii inaonyesha jinsi muungano wetu ulivyo wa kipekee
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,074 Jun 3, 2022 #2 Muungano wetu ni waaajabu.inamaana wachezaji kutoka Zanzibar wanaweza kuitwa tena timu ya taifa kwa michuano hiyo?
Muungano wetu ni waaajabu.inamaana wachezaji kutoka Zanzibar wanaweza kuitwa tena timu ya taifa kwa michuano hiyo?
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,187 Reaction score 4,425 Jun 3, 2022 #3 Katiba yetu imetutenga maana inasema Michezo sio sehemu ya mambo ya Muungano. Ni budi hata CAF na FIFA wangeitambua ZENJI kuwa ni Nchi inayojitegemea kwenye nyanja ya Michezo ili wawe wanashiriki kivyao
Katiba yetu imetutenga maana inasema Michezo sio sehemu ya mambo ya Muungano. Ni budi hata CAF na FIFA wangeitambua ZENJI kuwa ni Nchi inayojitegemea kwenye nyanja ya Michezo ili wawe wanashiriki kivyao
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,197 Reaction score 42,913 Jun 3, 2022 #4 Muungano wa ajabu huu..ndio mana timu zote zimepewa za kichwa. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Muungano wa ajabu huu..ndio mana timu zote zimepewa za kichwa. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,169 Jun 3, 2022 Thread starter #5 NAWATAFUNA said: Muungano wetu ni waaajabu.inamaana wachezaji kutoka Zanzibar wanaweza kuitwa tena timu ya taifa kwa michuano hiyo? Click to expand... Wanaitwa bila ubishi wowote
NAWATAFUNA said: Muungano wetu ni waaajabu.inamaana wachezaji kutoka Zanzibar wanaweza kuitwa tena timu ya taifa kwa michuano hiyo? Click to expand... Wanaitwa bila ubishi wowote
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,295 Reaction score 31,694 Jun 3, 2022 #6 Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo?
Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo?
L Leverage JF-Expert Member Joined Jan 25, 2021 Posts 2,125 Reaction score 3,169 Jun 4, 2022 Thread starter #7 ukikaidi utapigwa2 said: Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo? Click to expand... Watanzania mkuu
ukikaidi utapigwa2 said: Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo? Click to expand... Watanzania mkuu
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,643 Reaction score 12,351 Jun 4, 2022 #8 ukikaidi utapigwa2 said: Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo? Click to expand... Kwenye michezo hatuna Muungano, Lakini bado Zanzibar inakosa uhuru kamili kwenye suala la Michezo.
ukikaidi utapigwa2 said: Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo? Click to expand... Kwenye michezo hatuna Muungano, Lakini bado Zanzibar inakosa uhuru kamili kwenye suala la Michezo.