Tafakari ya Kipanya

Tafakari ya Kipanya

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,927
Reaction score
14,505
IMG_20161117_125754.jpg



my take he should be arrested hana tofauti na Lema.

Kipanya hajawahi kuchora kikaragosi kinachomhusu Mbowe hata siku moja hata alivyouza Chadema kwa Lowassa
 
Kisu kwenye mfupa.Unamsamehe Lugumi billion 37 unawadai wanafunzi million 10.
Mungu anawaona
 
Katuni hii inatufundisha nini?

1. Bodi ya Mikopo inatumikishwa tu (rungu la kutwangia watu). Yenyewe peke yake haina lolote.

2. Aliyeshika rungu kavaa jezi ya kijani. (Young African? Mwana chichiemi?)

3. Mshika rungu ni mvaa miwani

4. Rungu halijatua chini...na halina dalili ya kutua. Hii ni tisha toto tu kumbe...kuwanyamanzisha

On a serious note: yale majina yaliyotolewa na "rungu" yana idadi kadhaa ya watu waliokwisha tangulia mbele ya haki (RIP). Kwa nini haukufanyika uhakiki kwanza kabla ya kutoa ile ultimatum ya mwezi mmoja, au watakamatwa ndugu za marehemu?
 
Hivi Unaposema Akamatwe Una Maana Kuwa Wewe Ni Kada Kindakindaki Na Hujawahi Kujua Maana Ya Katuni
Mwenye Uraia Namba Moja Kamkubali Masoud Kipanya
Hamlafu Mtu Ambaye Hujui Ulitendalo Ndiyo Unasema
""Akamatwe"" Siyo Rahisi
 
Back
Top Bottom