KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,510
- 88,972
😀 sasa si wahairishe tu tumeshajua maisha yaendeleewanapotezea issue ya kagera kiaina
😀 sasa si wahairishe tu tumeshajua maisha yaendeleewanapotezea issue ya kagera kiaina
watahairisha kiaina usijal😀 sasa si wahairishe tu tumeshajua maisha yaendelee
Akamatwe atiwe ndani.
Hivi Unaposema Akamatwe Una Maana Kuwa Wewe Ni Kada Kindakindaki Na Hujawahi Kujua Maana Ya Katuni
Mwenye Uraia Namba Moja Kamkubali Masoud Kipanya
Hamlafu Mtu Ambaye Hujui Ulitendalo Ndiyo Unasema
""Akamatwe"" Siyo Rahisi
Tuambie..unaanzaje kumkamata na kumuweka ndani....View attachment 435484
my take he should be arrested hana tofauti na Lema.
Kipanya hajawahi kuchora kikaragosi kinachomhusu Mbowe hata siku moja hata alivyouza Chadema kwa Lowassa
Acha wehu chadema imeuzwa wapi? mkataba upo wapi? hizi hoja uwe na ushahidi nazo sio kuropoka tu UKIMYA WA UKAWA MSIONE WAJINGA SANAView attachment 435484
my take he should be arrested hana tofauti na Lema.
Kipanya hajawahi kuchora kikaragosi kinachomhusu Mbowe hata siku moja hata alivyouza Chadema kwa Lowassa
Katuni hii inatufundisha nini?
1. Bodi ya Mikopo inatumikishwa tu (rungu la kutwangia watu). Yenyewe peke yake haina lolote.
2. Aliyeshika rungu kavaa jezi ya kijani. (Young African? Mwana chichiemi?)
3. Mshika rungu ni mvaa miwani
4. Rungu halijatua chini...na halina dalili ya kutua. Hii ni tisha toto tu kumbe...kuwanyamanzisha
On a serious note: yale majina yaliyotolewa na "rungu" yana idadi kadhaa ya watu waliokwisha tangulia mbele ya haki (RIP). Kwa nini haukufanyika uhakiki kwanza kabla ya kutoa ile ultimatum ya mwezi mmoja, au watakamatwa ndugu za marehemu?