Tafakari ya Jumapili

LUGWA

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
959
467
FB_IMG_1523171645530.jpeg
 
Asante kwa kuthibitisha kuwa sadaka zinatumika vyema. Sijajua kuwa ni bahati mbaya au makusudi haujaonyesha mahospitali, shule, vyuo na vituo vya watoto yatima vilivyojengwa kwa sadaka. Kwa kuwa umejiweka upofu, basi ndio mwisho wako wa kuona huo.
 
Yangu macho
 
Jicho la kibinadamu limejaa husuda, hadithi moja wapo katika dini Fulani MTU mwenye husuda hulalamika hata anapoona weupe wa sanda anaozikwa nao Marehemu.

Imani ya dini inatambua misaada kwa wahitaji,lkn pia sehemu ya kuabudia nayo inapaswa pawe mahali bora.

Ndo maana kuna vituo vya kulelea wazee, watoto na yatima,kuna shule,vyuo, hospitali na Huduma nyingi kwa wanaojiweza,wasiojiweza,watu wa kati na matajiri.
 
Back
Top Bottom