Tafakari wewe Mwenyewe

Hii sijapata kuona!
Sure, lazima haya ni mambo ya uswazi.
Lakini pia inaweza kuwa ni design ya Pressure cooker, ambapo bila hilo kufuli mvuke utasukuma kifuniko na kuchelewesha lengo la kuwivisha haraka!
 

hapa ni ndala zangu mwenyewe, fikiria mimi naweza kuingia japo JF.............
 

angalia dunia ya leo....................
 


Kuna mtu alipata kutafsiri maana ya umasikini alisema kwa kifupi kabisa kuwa Umasikini ni kuishi nyumba moja na Mende na Panya!
Nami naongeza kuwa na Ndala kama hizi ni dalili critical ya umasikini.
tena umasikini wa kufa mtu,sasa hapo kuna umuhimu gani wa kuzivaa ikiwa sehemu zote za kuchomea miba ziwazi hakika tupo shimoni na sijui ni lini tutachomolewa.
 
hapa kuna mmoja maskini sana tena ambaye hata kuish kwake kwa kesho hajui na kuna mwingine hajui kitu kinaitwa shida lol!

hivi kati ya fukara sana na tajiri sana kuna nani katikati??

btw hiyo raba nimeipenda sana.
kwa hoyo kwa maana ingine waipendao ccm ni wale ambao kwao shida zimewapitia mbali sana,kama nimekuelewa lakini
 
tena umasikini wa kufa mtu,sasa hapo kuna umuhimu gani wa kuzivaa ikiwa sehemu zote za kuchomea miba ziwazi hakika tupo shimoni na sijui ni lini tutachomolewa.

akizivaa hayaonekani hayo matobo
 
Mwanamalundi leo umelala wapi?
ni kweli kabisa, nimetembelea thread kama 10 hivi nadhni hii paste anatembea nayo kila mahali ni maneno hayohayo..................... angalia profile yake........ana haki yake lakini.............(Ibara 18 URT Const.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…